Heche: UDSM wamezuia kongamano la DUPSA mjadala

Wamefanya vyema kuzuia hilo kongamano. Naipongeza UDSM.
Uko sahihi maana ukweli utakaoongelewa hapo ni mwiba kwa majizi ya kura na wauaji. Sioni ajabu kwa hatua hii, tawala zote zilizokuwa zinaenda kuanguka zilikuwa zinazuia hivihivi mafuriko kwa mikono.
 
wewe umewahi kutekwa?
Swali la kijinga kabisa kutoka kwa mjinga.

Hivi kwa sababu leo wewe sio mgonjwa na hujaenda hospitali , unafikiri hospitali leo hazifanyi kazi sababu wewe sio mgonjwa na kwa akili zako ukiamini hakuna wengine ambao ni wagonjwa?

Unafikiri kwamba sababu mimi sijatekwa ndio hakuna waliotekwa jinga lao?

Soka, Mzee Kibao, Mdude, Ben Saanane, Azori Gwanda, Dionizi Kipanya, Jacob Mlay, Kaswahili, Polepole na wengine wengi tu unafikiri hawa walienda sayari ya Mars ndio maana duniani hatuwaoni?
 
wewe mbona hujatekwa?
 
Back
Top Bottom