Heche ajiuzulu mapema, ameshindwa kazi

Heche ajiuzulu mapema, ameshindwa kazi

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,260
Reaction score
14,162
Chama hivi sasa kimekosa nidhamu hasa kuibuka kundi G55.

Jukumu la makamu ni kuweka sawa nidhamu ndani ya chadema.

Heche kashindwa kazi hio, ajiuzulu kabla ya mambo kuharibika
 
20250406_210704.jpg
 
Just let them bark, it will die naturally, no need of wasting time listening to baseless arguments
 
Chama hivi sasa kimekosa nidhamu hasa kuibuka kundi G55.

Jukumu la makamu ni kuweka sawa nidhamu ndani ya chadema.

Heche kashindwa kazi hio, ajiuzulu kabla ya mambo kuharibika

Kuongoza taasisi si sawa na kuongoza familia ,busara inahitajika ,ukiendesha chama kibabe ndiyo matokeo yake hayo.

TAL chama kinaenda kumfia.
 
Chama hivi sasa kimekosa nidhamu hasa kuibuka kundi G55.

Jukumu la makamu ni kuweka sawa nidhamu ndani ya chadema.

Heche kashindwa kazi hio, ajiuzulu kabla ya mambo kuharibika
Haahaa kwa lipi,?
 
Mbona unawashwa sana na Chadema wewe dada Maria 2 au mumeo hakukolezi fresh? Achana na mambo ya Chadema jikite kwenye hilo chama lenu la kishetani
 
Chama hivi sasa kimekosa nidhamu hasa kuibuka kundi G55.

Jukumu la makamu ni kuweka sawa nidhamu ndani ya chadema.

Heche kashindwa kazi hio, ajiuzulu kabla ya mambo kuharibika
Unasema hilo wee ukiwa kama nani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom