kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,781
- 12,207
Wanamsubiri lema aitishe press conference maana ndio msemaji wao kwa sasaChama hivi sasa kimekosa nidhamu hasa kuibuka kundi G55.
Jukumu la makamu ni kuweka sawa nidhamu ndani ya chadema.
Heche kashindwa kazi hio, ajiuzulu kabla ya mambo kuharibika