Hebu Kwanza: Hawa Saudi Arabia Vipi?

Hebu Kwanza: Hawa Saudi Arabia Vipi?

Si kweli...
Israel ilizidiwa mbinu na Hamas...
Kama Hamas wanajificha katikati ya raia, wale mateka wa Israel waliofichwa ndani ya Gaza na Hamas... nao walikuwa wamefichwa katikati ya raia?

Inakuwaje walitafutwa ikashindikana kuwapata, kama wangelikuwa miongoni mwa raia, kwa intel ya Israel na walivyojaza MOSSAD ndani ya Gaza, basi wale wangepatikana tu...

Sasa nikuulize kama Hamas waliweza kuficha mateka huko kusikojulikana na intel yote ya Israel wakashindwa kuwapata, je Hamas wao kama wao wanashindwa pia kujificha kusikojulikana kama hao mateka....

IDF imezidiwa mbinu kwa kiasi kikubwa, ukisema wapambane vita ya ardhini na hivyo vikundi jeshi la IDF litapoteza askari wengi sana na ushindi hutopatikana...

The only way, ni kuua raia na kupiga makazi ya watu hasa pale wanapoona mchezo ni mgumu ili kupelekea ceasefire kwa lazima na pengine kufanya adui aogope....

Mfano vita ya Hezbollah, IDF inaua raia, hii imepelekea jeshi la serikali kuingia mtafaruku na Hezbollah.. ndivyo Israel inachofanya.... airforce ndio wanachotegemea , tofauti na hapo ni weupe sana...
Mbinu ipi waliyoizidi Israel sasa?😂😂
Watu wanlmechimba mahandaki chini ya misikiti, hospital, shule na wanajichanganya na raia kama ngao, hiyo ndio mbinu pekee iliyofanya vita ikapiganwanmuda mrefu
Halafu halaya makundi target Yao kubwa ni kuua watu iwe wanajeshi au raia na kuharibu miundombinu iwe ya kiraia au kijeshi... Jeshi kama la Israel wao wanatakiwa kupiga target za kijeshi pekee ama ndio hivyo sheria za kimataifa kuhusu vita zinawabana
 
Aaah huyo bwege achana naye. Habari zinaonesha wazi kabisa wanajeshi wa Saudi Arabia wakikamatwa mateka na Houthi. Haiyz na Mocha imechukuliwa kwa mtutu wa bunduki askari mamluki wakiinua mikono kusalimu amri. Halafu huyo FALA anakwambia eti wanajificha nyuma ya raia.
Hehehehe yaani inafikirisha 😄😄😄
 
Mbinu ipi waliyoizidi Israel sasa?😂😂
Watu wanlmechimba mahandaki chini ya misikiti, hospital, shule na wanajichanganya na raia kama ngao, hiyo ndio mbinu pekee iliyofanya vita ikapiganwanmuda mrefu
Halafu halaya makundi target Yao kubwa ni kuua watu iwe wanajeshi au raia na kuharibu miundombinu iwe ya kiraia au kijeshi... Jeshi kama la Israel wao wanatakiwa kupiga target za kijeshi pekee ama ndio hivyo sheria za kimataifa kuhusu vita zinawabana
Kama wanaua raia kwanini hawakuwaua wale wa kizayuni walio wateka
Kama wanajificha nyuma ya raia ina maana walijificha pamoja na hao mateka ila mateka why hawakufa wakafa tu raia wakawaida
Hoja hamna hapa
 
Hakuna civilian area ambayo Houthi wameweka landmines,usipende kuongopa kaka.
Landmines Houthi wameweka maeneo yao ya kijeshi na sio maeneo ya kiraia.
Huwenda una tafsiri yako ya maana ya ugaidi ila kwa tafsiri ya kimataifa Houthi hakuna tukio la kigaidi walilolifanya.
Sio Tu maeneo ya makazi Bali hata shuleni, shule zaidi ya 200 zilikumbwa na hiyo kadhia katika maeneo kama Taiz, Marib, Hudaydah, Hannah...Ningekushushia data zote Bahati mbaya nimesahau Sana na nimeacha kufuatilia in deep toka 2019 baada ya kuona ni michezo ile ile Tu...Watu waliumia ww unasema hakuna kitu kama hicho.
 
Em bomu lipige hapo macca na madina tuone labda allah atawasaidia 😎
Weweee! Waasi wa kabila la Quraysh (608) waliishambulia Mecca na huyo Allah alipotezea na tena 570gavana Abraha wa Yemen aliibomoa kaaba na Allah hakuwasaidia hao Wasaudi.
 
Sio Tu maeneo ya makazi Bali hata shuleni, shule zaidi ya 200 zilikumbwa na hiyo kadhia katika maeneo kama Taiz, Marib, Hudaydah, Hannah...Ningekushushia data zote Bahati mbaya nimesahau Sana na nimeacha kufuatilia in deep toka 2019 baada ya kuona ni michezo ile ile Tu...Watu waliumia ww unasema hakuna kitu kama hicho.
Hata mie nafuatilia huwenda nikasema kuliko hata wewe. Pia Taiz,Hudaydah na Marib zilikua chini ya Saudi coalition force na wala sio Houthi. Sasa utasemaje Houthi ndio walitega land mines ilhal hayo maeneo yalikua chini ya udhibiti wa majeshi mamluki ya SaudiArabia!??
Hayo maeneo uliyotaja HOUTHI ameyakomboa MWEZI HUU tangu 2021 iliposainiwa makubaliano ya amani wakati huo Houthi akishikilia 18% ya eneo zima la nchi.
Hapo pia ushadanganya.
 
Kuna nchi duniani inayowashinda waSaudi katika ununuzi wa silaha za kivita, silaha za kisasa kabisa!

Sasa hawa wa Houthi wanapata wapi hata uthubutu tu wa kuzozana na Saudi Arabia kiasi kwamba makombora yanapigwa hadi ndani mwa Riadh, na nusra mengine yaende Mecca!

Kwa nini Saudi walielie na kuomba msaada kukabiliana na hawa Houthi. Kuna nini kinatokea hadi hali iwe tete kiasi hiki?
Kwani wakiandaa vidola kama bilioni mbili hivi, akina Lucas Mwashamba, Tlaatlaah hawawezi kweli kwenda kutoa msaada huko na kutuacha nasi hapa JF tupate hewa kidogo?
Hakuna nguvu mbaya ya kupigana nayo kama nguvu ya kujitolea, hio nguvu inashinda nguvu ya hela. Saudi Arabia ina vifaa lakini haina moyo/mipangilio ya mapigano.

Yemen(Houthi) wana moyo wa kujitoa na ari huwezi mshinda mtu hana anacho poteza (anapenda kufa kiliko anasa ya kuishi). Unakumbuka Marekani vita vyake na hao Houthi vya 54 days war Marekani aliomba mwenyewe kusimamisha vita kama alivyo kimbia Somali.

Mfano mwizi ame zungukwa na watu wanataka mchoma moto nae ana panga unafikiri nani atajipeleka kwa huyo mwizi mwenye kujihami na maisha yake?.
 
Kiujumla nimekuelewa mantiki ya hoja yako, lakini siyo mifano uliyotumia, kama huo wa mwizi mwenye panga; mwizi ambaye ni mhalifu. Hali yake hiyo ya uhalifu, tayari ni hukumu nzito kwake, na kamwe hawezi kusalimika kupambana na hao watu aliowafanyia uovu.

N.B.: Sikujuwa kuwa Marekani alishapambana na hawa Houthi, hii ni taarifa mpya kwangu.
Kwa hiyo, kumbe ndiyo maana anasita kujiingiza tena kupambana nao kumsaidia Saudi Arabia?
 
Mbinu ipi waliyoizidi Israel sasa?😂😂
Watu wanlmechimba mahandaki chini ya misikiti, hospital, shule na wanajichanganya na raia kama ngao, hiyo ndio mbinu pekee iliyofanya vita ikapiganwanmuda mrefu
Halafu halaya makundi target Yao kubwa ni kuua watu iwe wanajeshi au raia na kuharibu miundombinu iwe ya kiraia au kijeshi... Jeshi kama la Israel wao wanatakiwa kupiga target za kijeshi pekee ama ndio hivyo sheria za kimataifa kuhusu vita zinawabana
Hamas hawana Airforce, hawana vifaru, air defense , hawana pesa na hawana askari wengi kuliko Israel, wapo eneo dogo sana... lakini IDF imefeli kupata mateka pale pale Gaza...

Uwezo wa mapigano IDF imefeli, zaidi wametumia ndege za kimarekani kuiharibu Gaza na kuua maelfu ya raia...

Hamas walikuwa wanakwenda direct kwenye kifaru wanaweka kilipuzi na kifaru kinalipuka...
Wametega mines hapo Gaza...
IDF wamepigwa sana ambush... na uzuri videos zipo...

Kusema kwamba walikuwa wanajificha miongoni mwa raia huko ni kujitetea..
 
Hata mie nafuatilia huwenda nikasema kuliko hata wewe. Pia Taiz,Hudaydah na Marib zilikua chini ya Saudi coalition force na wala sio Houthi. Sasa utasemaje Houthi ndio walitega land mines ilhal hayo maeneo yalikua chini ya udhibiti wa majeshi mamluki ya SaudiArabia!??
Wakati juzi hapo 2015's Houthi katika harakati za kuchukua Taiz matokeo Yake wakaweka Landmines kuzunguka sehemu kubwa ya pembezoni mwa mji na hata kwenye barabara waliweka vilipuzi ili Tu Ku tight blockade ya mji...Waliacha massive amounts za landmines zilizo athiri watu wasio na hatia, unasemaje hawa sio Magaidi yaliyojivika kofia ya wazalendo...Wanatumia mbinu za kigaidi kupambana na Wadhalimu wa Saudi Arabia & Co.
 
Hamas hawana Airforce, hawana vifaru, air defense , hawana pesa na hawana askari wengi kuliko Israel, wapo eneo dogo sana... lakini IDF imefeli kupata mateka pale pale Gaza...

Uwezo wa mapigano IDF imefeli, zaidi wametumia ndege za kimarekani kuiharibu Gaza na kuua maelfu ya raia...

Hamas walikuwa wanakwenda direct kwenye kifaru wanaweka kilipuzi na kifaru kinalipuka...
Wametega mines hapo Gaza...
IDF wamepigwa sana ambush... na uzuri videos zipo...

Kusema kwamba walikuwa wanajificha miongoni mwa raia huko ni kujitetea..
Hawawezi kukubali wala kuelewa hata uwaambiaje yaani !!!
 
Wakati juzi hapo 2015's Houthi katika harakati za kuchukua Taiz matokeo Yake wakaweka Landmines kuzunguka sehemu kubwa ya pembezoni mwa mji na hata kwenye barabara waliweka vilipuzi ili Tu Ku tight blockade ya mji...Waliacha massive amounts za landmines zilizo athiri watu wasio na hatia, unasemaje hawa sio Magaidi yaliyojivika kofia ya wazalendo...Wanatumia mbinu za kigaidi kupambana na Wadhalimu wa Saudi Arabia & Co.
2015 Houthi alikua bado hajajipambanua kisilaha hizo landmine alizitoa wapi!? Bro ulifuatilia mzozo vizuri kweli!?
Embu rudi kaufuatilie ndio urejee hapa. Halafu kafuatilie ni lini Houthi alianza kupata nguvu ya silaha.
Houthi Taiz aliipoteza mapema sana tangu 2014 ile ile zilipoanza harakati za maandamano kabla kulipuka vita.
 
Hawajajipambanua kisilaha ukiwa na maana gani?, wakati wanaichukua Sanaa Kwa kushirikiana na vikosi vya Rais wa zamani somebody Ali Saleh unafikiri walichukua Kwa mikono mtupu?, Wakati Houthi hiyo miaka walikuwa wapiganaji wa vikundi wenye uzoefu mkubwa Tu wa silaha za kivita za kawaida , unadhani ishu za landmines zinahitaji Jeshi kamili au unafikiri vilipuzi vya Aina hiyo vinahitaji utaalamu wa juu Sana au ww ulianza kufuatilia Houthi wakiwa tayari in some sort ni Jeshi kamili?...Isije ikawa najadili na mtu wa juzi Hapa.

Sijazungumzia kuhusu kushindwa Kwa Houthi, ninachojaribu kukisema ni Tactics walizotumia kutaka kuchukua ule mji, ni Tactics za kigaidi walizotumia na kutaka kuchukua sehemu in expense of innocent civilians, mifano ni mingi mnooo labda Tu mtu atake yeye kukataa uhalisia...Yaani Houthi na Saudi hawana tofauti, ladha ni ile ile chupa ni tofauti.
 
Hamas hawana Airforce, hawana vifaru, air defense , hawana pesa na hawana askari wengi kuliko Israel, wapo eneo dogo sana... lakini IDF imefeli kupata mateka pale pale Gaza...

Uwezo wa mapigano IDF imefeli, zaidi wametumia ndege za kimarekani kuiharibu Gaza na kuua maelfu ya raia...

Hamas walikuwa wanakwenda direct kwenye kifaru wanaweka kilipuzi na kifaru kinalipuka...
Wametega mines hapo Gaza...
IDF wamepigwa sana ambush... na uzuri videos zipo...

Kusema kwamba walikuwa wanajificha miongoni mwa raia huko ni kujitetea..

ulishawahi kujiuliza labda hao hamasi hata wakawa ni inside job ya hao hao israel? ...
 
Mkuu hivi huwa inalipwa kwa cash au kwa Resources, Maana Na imagine hizo Saudi Riyal si zitakuwa zinaoverflow hapo Federal Reserve?
We jamaa fedha za Saudi hata zikiwa nyingi marekana lakin Naami trade volume Kati ya Saudia na USA ni nyingi kuna bidhaa au huduma ambazo Watu wa U SA wanahitaji direct toka saudia
 
Hawajajipambanua kisilaha ukiwa na maana gani?, wakati wanaichukua Sanaa Kwa kushirikiana na vikosi vya Rais wa zamani somebody Ali Saleh unafikiri walichukua Kwa mikono mtupu?, Wakati Houthi hiyo miaka walikuwa wapiganaji wa vikundi wenye uzoefu mkubwa Tu wa silaha za kivita za kawaida , unadhani ishu za landmines zinahitaji Jeshi kamili au unafikiri vilipuzi vya Aina hiyo vinahitaji utaalamu wa juu Sana au ww ulianza kufuatilia Houthi wakiwa tayari in some sort ni Jeshi kamili?...Isije ikawa najadili na mtu wa juzi Hapa.
Naifahamu Houthi tangu 1994 ikiwa chama cha siasa Ansarullah. Huwenda hujanielewa. Embu karudi uutizame mzozo upya Houthi walianza kujipambanua kisilaha mwaka gani wa machafuko. Na Houthi walikua wana silaha za kawaida tena bunduki za kawaida sana. Nenda kafuatilie Houthi waliuteka mji wa Sanaa lini au mwaka gani.
Maana Houthi ni mkusanyiko wa koo kubwa za Yemeni, sasa hizo advanced weapons hadi kuwa na landmines sijui walitolea wapi!?
Ilhali walikua na bunduki duni za kijadi na ilichukua muda hata kuibakisha hiyo Sanaa mikononi mwao.
Sijazungumzia kuhusu kushindwa Kwa Houthi, ninachojaribu kukisema ni Tactics walizotumia kutaka kuchukua ule mji, ni Tactics za kigaidi walizotumia na kutaka kuchukua sehemu in expense of innocent civilians, mifano ni mingi mnooo labda Tu mtu atake yeye kukataa uhalisia...Yaani Houthi na Saudi hawana tofauti, ladha ni ile ile chupa ni tofauti.
Shortly Houthi hakuwahi kuweka landmines maeneo ya raia. Nenda kafuatilie mzozo vizuri.
 
Naifahamu Houthi tangu 1994 ikiwa chama cha siasa Ansarullah. Huwenda hujanielewa. Embu karudi uutizame mzozo upya Houthi walianza kujipambanua kisilaha mwaka gani wa machafuko. Na Houthi walikua wana silaha za kawaida tena bunduki za kawaida sana. Nenda kafuatilie Houthi waliuteka mji wa Sanaa lini au mwaka gani.
Nilikuulize kule juu kujipambanua kisilaha Una Maanisha nini?, Hata hivyo nilishakujibu Hili swali
Maana Houthi ni mkusanyiko wa koo kubwa za Yemeni, sasa hizo advanced weapons hadi kuwa na landmines sijui walitolea wapi!?
Ilhali walikua na bunduki duni za kijadi na ilichukua muda hata kuibakisha hiyo Sanaa mikononi mwao.
Kwanza kabisa Land Mines sio advanced weapons kama unavyosema, inatia Shaka hujui Hili.

Pili 2014 walivyoichukua Sanaa walikuta stock kubwa Tu ya landmines kwenye Ghala za silaha na hata Iran ina mchango mkubwa kwenye hilo baadae kidogo, wakaanza kutumia kwa malengo na sababu wanazojua wao Kwa mgongo wa uzalendo na kuondoa udhalimu na nilikutajia baadhi ya sababu ya wao kufanya hivyo post ya nyuma.

Tatu Houthi sio mkusanyiko wa koo kubwa za Yemeni kama ulivyosema, Kwanza Yemeni Kwa kiasi Kikubwa Wana mashirikisho ya kikabila au koo, yaani koo au kabila zinaungana na kutengeneza Shirikisho (Umoja) Hapa kuna historia ndefu Sana haina haja kuelezea....

Bali makabila na koo ni sehemu Tu ya Muungano wao Kipindi wanaanza harakati zao yaani Houthi, Kwanza jina la "Houthi" lenyewe ni jina la mtu au tuseme jina la familia. Nguvu kubwa ya Houthi ilitokana na itikadi iliyowaunganisha kama utambulisho wao na sio Muungano wa koo japo koo na makabila ni sehemu Tu but sio kitu kinachowapa nguvu kubwa sana...Hadi Leo hii Kiongozi mkuu wa Houthi ni kutoka familia Ile Ile iliyoanzisha harakati, Yaani wanarithishana kama ufalme, ...Kipindi nafanya tafiti nilisikia rumours kuwa Eti wao ni descendants wa prophet Muhammad but Hili sijalithibitisha Kwa macho.
Shortly Houthi hakuwahi kuweka landmines maeneo ya raia. Nenda kafuatilie mzozo vizuri.
Nimefuatilia vizuri Sana tena Kwa kina...Bahati nzuri Nina baadhi ya kumbukumbu kichwani sijasahau utafiti niliofanya Kipindi kile na Colleagues wengine...
 
Nilikuulize kule juu kujipambanua kisilaha Una Maanisha nini?, Hata hivyo nilishakujibu Hili swali

Kwanza kabisa Land Mines sio advanced weapons kama unavyosema, inatia Shaka hujui Hili.

Pili 2014 walivyoichukua Sanaa walikuta stock kubwa Tu ya landmines kwenye Ghala za silaha na hata Iran ina mchango mkubwa kwenye hilo baadae kidogo, wakaanza kutumia kwa malengo na sababu wanazojua wao Kwa mgongo wa uzalendo na kuondoa udhalimu na nilikutajia baadhi ya sababu ya wao kufanya hivyo post ya nyuma.
Unaongea uongo mwingi sana. Ripoti ziko mbili. Ya kwanza iliyotolewa na UN human rights inasema "Houthi might be the one under landmines plot in Taiz". Might ila haina uhakika.
Ripoti za serikali ya Yemeni landmines hizo zilikuwepo tangu civil war ya 1990 ambayo iliisha 1994. Ndio maana nakwambia ACHAGA KUONGOPA.
Tatu Houthi sio mkusanyiko wa koo kubwa za Yemeni kama ulivyosema, Kwanza Yemeni Kwa kiasi Kikubwa Wana mashirikisho ya kikabila au koo, yaani koo au kabila zinaungana na kutengeneza Shirikisho (Umoja) Hapa kuna historia ndefu Sana haina haja kuelezea....

Bali makabila na koo ni sehemu Tu ya Muungano wao Kipindi wanaanza harakati zao yaani Houthi, Kwanza jina la "Houthi" lenyewe ni jina la mtu au tuseme jina la familia. Nguvu kubwa ya Houthi ilitokana na itikadi iliyowaunganisha kama utambulisho wao na sio Muungano wa koo japo koo na makabila ni sehemu Tu but sio kitu kinachowapa nguvu kubwa sana...Hadi Leo hii Kiongozi mkuu wa Houthi ni kutoka familia Ile Ile iliyoanzisha harakati, Yaani wanarithishana kama ufalme, ...Kipindi nafanya tafiti nilisikia rumours kuwa Eti wao ni descendants wa prophet Muhammad but Hili sijalithibitisha Kwa macho.
UAONGEA UONGO MWINGINE. Houthi ilianza kuitwa Ansarullah kabla ya kuitwa Houthi. Na 1994 kuna koo kubwa takriban 4 ziliungana kuunda hiyo Ansarullah kabla ya itikadi kuhama kuja kuitwa Houthi 2000s. Unaanza kunambia stori za kusadikika hata historia ya Houthi HUIJUI. Na kwa kukuongezea ripoti mnamo September Haiyz na Mocha ilipobebwa kuna koo zingine TATU ziliomba kujiunga na Houthi ili ziendeleze mapambano. Nina mashaka na vyanzo vyako vya habari. Na hilo suala la kusema ni descendants wa Mohammad(s.aw.) hata kama ni fununu inaonesha vyanzo vyako sio vya kuaminika.
Nimefuatilia vizuri Sana tena Kwa kina...Bahati nzuri Nina baadhi ya kumbukumbu kichwani sijasahau utafiti niliofanya Kipindi kile na Colleagues wengine...
Kiufupi na nasisitiza Houthi hawakuwa behind the land mines plot kwenye huo mji. Kasome ripoti zako vizuri.
 
Back
Top Bottom