Hebu Kwanza: Hawa Saudi Arabia Vipi?

Hebu Kwanza: Hawa Saudi Arabia Vipi?

Mkuu hivi huwa inalipwa kwa cash au kwa Resources, Maana Na imagine hizo Saudi Riyal si zitakuwa zinaoverflow hapo Federal Reserve?
Mafuta huwa yako traded in dollars. Kiutaratibu wa kifedha, Saudia inapouza mafuta Marekani inapewa dollars. Matokeo yake $ inapotea kwenye mzunguko wa ndani ya Marekani inaenda Saudi Arabia. Ni kazi ya nchi kufanya uzalishaji kurudisha hiyo hela iliyopo nje ya mzunguko wao ndani, ili wasichapishe dola nyingine za kutumia wao (surprisingly, US huwa wanachapisha kirahisi kuliko sarafu nyinginezo duniani).

Kwahiyo inabidi US auze kitu kingine kwa Saudi, ili Saudi alipe kwa $ zirudi kwenye mzunguko ndani ya Marekani.

Kwa vile dollar inatumika duniani kote basi Saudia atatumia hela hiyo hiyo kununua bidhaa nyingine ambazo sio za Marekani. Kwahiyo hatokaa na shehena ya USD labda kama foreign reserve.

Na vilevile US inauza sana bonds ikitaka projects zake ziende. Saudia akiwa na dollars zimelala hazina kazi anazirudisha US kununua bonds ambazo huwa haziishi na ni very safe. Hata China wanazo bonds nyingi sana za US.

US hapokei riyals sababu Saudia anazo dollars nyingi za kurudisha na ni kazi ya US kurudisha kilicho chake.
 
Saudi Arabia ananunua silaha kama appeasement policy dhidi ya USA.

Kipindi MBS alipomuua Jamal Kashoggi kwenye ubalozi wa Saudi Arabia nchini Uturuki, kulitokea wito kwa wanaharakati Marekani iiwekee vikwazo Saudia au MBS mwenyewe. Wakanunua silaha.

Ikitokea uvunjivu wa haki za binadamu. Saudi inanunua silaha.

Ikitokea Trump anafanya ziara kwao. Wananunua silaha.

Ikitokea wao wanaenda kwa Trump. Wananunua silaha.

Kwahiyo wao kununua silaha ni sera, sio mahitaji. Ndio maana wana silaha hata kuzitumia vizuri hawajui wala package ya training hawaizingatii. Maana maintenance itafanywa na Western contractors.

Kama ambavyo madikteta wa Kiafrika wakitaka kujipendekeza wanatoa rasilimali, wa Kiarabu wanatumia hela za mafuta kununua vitu vya gharama. Wakukwepa silaha wataweka order kubwa ya Boeing.
Uko sawa kwa kiwango kikubwa, lakini Kusema kuwa wananunua silaha kwa sababu ya sera na sio mahitaji ni generalisation isio sahihi kabisa.

Threats alizonazo Saudi kutoka kwa Yemen, Iran n.k, ndio zinampelekea anunue silaha kwa Marekani., so wananunua silaha sio kwa sera bali ni mahitaji halisi ya kijeshi
 
Ila hili taifa liliundwa, kusanifiwa na kuratibiwa na watu wenye akili nyingi sana. Mfumo wa uchumi wa dunia walivyousanifu, unafanya kila taifa duniani liwe tiifu kwake.

Imagine, wao ndio wenye dollars, unanua silaha kwa dollars, ukishakuwa nazo, maintainance yake, makampuni ya nchi yake ndio yanafanya na kuendelea kulipwa kwa dollar.

Akili kubwa sana.
 
Hivi si hawa jamaa walimnunulia mpaka ndege trump 😂😂😂😂😂😂😂
 
Ila hili taifa liliundwa, kusanifiwa na kuratibiwa na watu wenye akili nyingi sana. Mfumo wa uchumi wa dunia walivyousanifu, unafanya kila taifa duniani liwe tiifu kwake.

Imagine, wao ndio wenye dollars, unanua silaha kwa dollars, ukishakuwa nazo, maintainance yake, makampuni ya nchi yake ndio yanafanya na kuendelea kulipwa kwa dollar.

Akili kubwa sana.
Kwenye silaha kuna kitu kinaitwa source code. Ni mfumo wa mawasiliano wa subsystems za silaha. Hiyo kitu ni very sensitive na critical mno.

Ufaransa kidogo ikose deal la mabilioni ya dola kwa India baada ya India kulazimisha source codes za Rafale fighter jet. Ili India iweke missiles zake yenyewe, iwe na control ya computer ya ndege na iwe na kuweza kufanya editing kidogo na upgrade fulani. Jambo hilo Ufaransa imekataa mpaka sasa wako kwenye mgogoro wakati deal ni la ndege 114.

Marekani akikupa silaha kuna sehemu hutakiwi kupiga bila ruhusa yake, Russia na China hawazuii. Ufaransa iliiuzia Argentina makombora ya Exocet ya kudungua meli, ikauza na ndege. Alafu Argentina ikaingia vitani na Uingereza. Kwanini Uingereza isitafute Wafaransa wakayafunge vibaya makombora ili yasilipuke? Ilikuwa Falklands war.

So maintenance sio kuendeleza kuchukua pesa tu. Ni kulinda maslahi na kuzuia matumizi yasiyoendana na foreign policy ya wauzaji. Ndio maana uhuru kamili ni kuunda silaha zako. No strings attached.

Juu ya Marekani, founding fathers wake walikuwa wachache sana ukilinganisha na ukubwa wake. US haikuundwa na vilaza, wala watu nyolo nyolo. Walikuwa watu wanywaji wa pombe kali, walaji wa chakula kingi hasa nyama, vipande vya watu warefu na wazito kwa kilo. Pia wasomi na wajuzi wa fani husika. Na pia ni athletes mara huyu bondia, huyu anapiganisha vita, huyu anamiliki watumwa na ni mbabe.

Kwahiyo nchi iliundiwa misingi na watu wachache sana sio libunge likuubwa watu 300 na kitu. Mtu hata kuuza nyanya hajawahi naye mbunge. Katiba yao yenye miaka zaidi ya 200 bila kubadilishwa iliandikwa na watu wachache mno na iko accurate mpaka leo, mfano James Madison mmoja ni sawa na wabunge 200 pale Dodoma.
Watu 55 walitumia miezi minne kuandika katiba ambayo waliosaini ni 39 tu. Mpaka leo ipo.

Njoo Malawi miaka mingapi imepita na rasimu tu. Na teknolojia yote iliyopo.
 
Jeshi la Saudi Arabia ni model sawa na jeshi la Libya ya Gaddafi na jeshi la Syria ya Bashar al Assad.

Kuna tawala ambazo majeshi yao kuwa na nguvu sio kipaumbele, bali kipaumbele ni majeshi yao kuwa watiifu. Kwahiyo tawala hizo hufanya sabotage kuhakikisha majeshi hayawi na nguvu, uhuru, akili, uongozi shupavu na utayari wa vita ili kusitokee mapinduzi.

Vikosi competent pekee huwa ni kikosi cha kulinda serikali, bunge, mahakama na ikulu na wale protection unit ya kiongozi wa nchi. Hizo special forces pekee ndio huwa imara kila kona na huongozwa na the most trusted people kama mabinamu na wapwa wa watawala.

The rest ni vikosi oya oya mafunzo sifuri, coordination hamna, utayari hamna, na vinaongozwa na machawa tu wala sio makamanda wenye uwezo.

Model hiyo ya jeshi huwa inanunua silaha nyingi kumtisha adui wa nchi jirani aogope kuleta uchokozi. Na huwa majeshi hayo yanakwepa sana confrontation za nje ili uwezo wake usijulikane waziwazi. Huwezi wasikia sijui wamelinda amani au wameshiriki joint task force, sana sana Saudi Arabia itatuma hela, inunue silaha kisha nchi maskini zinazojiamini ndio zitumie huo msaada kwenye kulinda amani.

Mara ya mwisho Gaddafi anajaribu kumsaidia Iddi Amin majeshi yake yalipigwa na JWTZ. Ni majeshi njaa yaliyokuwa na sifa nilizotaja hapo juu, ila yana silaha nzuri.
Vilevile Gaddafi alishindwa vita ya Chad wakati Chad ni maskini tu na Jenerali Derby akiongoza vikosi kwa silaha nyepesi kabisa. Gaddafi na kuvaa magwanda kila siku maisha yake yote hajawahi pigana vita yoyote akashinda.

Ambacho hayo majeshi yanajua vizuri ni kupiga raia. Wana mbinu za kila aina za kupiga raia na kukamata watu, jambo ambalo majeshi kama ya UK au France yanaweza fundishwa nao.

Vilevile ni sera ya Saudi Arabia kununua silaha nyingi kwa washirika kwa makubaliano italindwa. Last time inakaribia kuvamiwa alikuwa ni Saddam Hussein aliyekuwa na silaha nyingi na jeshi la kawaida tu, alivyoivamia Kuwait na kukaribia kuivamia Saudia ambayo haikuwa na silaha kabisa ndipo Mfalme wa Saudi akaanzisha defense policy ya kununua silaha nyingi na kuweka kambi za superpower ili jirani mwenye fujo aogope kukuvamiwa.

That policy worked well, mpaka Iran ilipopata makombora na drones makundi kama Houthi yakapewa.
Mkuu...
Umeeleza upande mmoja tu, kwamba jeshi la Saudia ni dhaifu tokana na suala zima la kisiasa...

Lakini kuna mambo muhimu ya kuzingatia ...
Hebu tuzungumzie pia mbinu za kivita, usaidizi wa silaha na teknolojia kutoka Iran...

Pia Houthis wanapata intel, mafunzo , silaha , vipuri n.k kutoka Iran...
Iran imewapa Houthis teknolojia ya wao wenyewe kutengeneza makombora na drones, Saudia wao wanategemea interceptor za patriot zinazogharimu mamilioni ya dollar kutoka US...

Iran inafahamika vyema kwa mbinu za kivita hasa kutumia silaha na mbinu za gharama nafuu lakini zenye madhara makubwa...

Ni kweli jeshi la Saudia ni dhaifu, lakini Houthis pia wapewe credit, wapo vizuri kimbinu na kivita...

Hata Israel na jeshi lake imara wanapelekana sana na Hezbollah achilia Hamas...
 
Uko sawa kwa kiwango kikubwa, lakini Kusema kuwa wananunua silaha kwa sababu ya sera na sio mahitaji ni generalisation isio sahihi kabisa.

Threats alizonazo Saudi kutoka kwa Yemen, Iran n.k, ndio zinampelekea anunue silaha kwa Marekani., so wananunua silaha sio kwa sera bali ni mahitaji halisi ya kijeshi
Kama ni sera mbona hawanunui silaha muhimu za Urusi au China?
Ngoja nikupe mfano wa silaha ambazo Saudi anaweza nunua nje na hajanunua.

1. Saudia hana class ya drones ambazo Turkey anazo ila US hana. Hizo zingemsaidia sana tu, maana Israel anazo kama Heron ila Saudia hawezi miliki Israeli made weapons systems.

2. Saudia angeweza kununua air defense systems za China especially HQ-9 family ila itamgombanisha na Marekani. Hii ingesaidia kuwa na integrated air defense badala kumtegemea Marekani kama Mungu. What if mfumo ukawa penetrated au US ikamuwekea sanctions maana yake miundombinu ya mafuta ikae wazi?

3. Saudia anahitaji ndege kama Su-34 ya Urusi ambayo ni fighter bomber kwa mazingira yake hapo jangwani na maadui zake hivyo vikundi. Badala yake hawezi nunua anabaki na ndege kama F-15 na Typhoons.

4. Saudi inahitaji anti drones systems kutoka nchi mbali mbali hata China ila inajiogopa ogopa. Inasubiri solutions kutoka US pekee, au kidogo Europe au ndani ya NATO ila haiko huru kuchagua.

Kaone inachofanya Egypt. Haipangiwi, leo inanunua ndege Ufaransa, kesho inanunua US, keshokutwa inajadiliana na China, juzi iliongea na Urusi. Hii ni kuzuia siku inapigana na Israel isitokee Marekani ikazuia supply kwa silaha ilizotengeneza kama ilivyofanya kwa Iran wakati Saddam Hussein anawavamia.
 
Mkuu...
Umeeleza upande mmoja tu, kwamba jeshi la Saudia ni dhaifu tokana na suala zima la kisiasa...

Lakini kuna mambo muhimu ya kuzingatia ...
Hebu tuzungumzie pia mbinu za kivita, usaidizi wa silaha na teknolojia kutoka Iran...

Pia Houthis wanapata intel, mafunzo , silaha , vipuri n.k kutoka Iran...
Iran imewapa Houthis teknolojia ya wao wenyewe kutengeneza makombora na drones, Saudia wao wanategemea interceptor za patriot zinazogharimu mamilioni ya dollar kutoka US...

Iran inafahamika vyema kwa mbinu za kivita hasa kutumia silaha na mbinu za gharama nafuu lakini zenye madhara makubwa...

Ni kweli jeshi la Saudia ni dhaifu, lakini Houthis pia wapewe credit, wapo vizuri kimbinu na kivita...

Hata Israel na jeshi lake imara wanapelekana sana na Hezbollah achilia Hamas...
Houthi wamefugwa mpaka kufikia hapa. Ni sawa na Nigeria ilivyowafuga Boko Haram na kujiendekeza.

Kitu kingine, ni rahisi zaidi kushambulia kuliko kujilinda. Na haijawahi tokea popote duniani silaha ya kushambulia ikawa na bei kubwa kuliko silaha ya kujilinda.

Unaweza kusoma hadi ukawa Professor kwa kutumia mamia ya mamilioni, nikakuua kwa sumu ya panya inayouzwa mia tano. Ila ili uhakikishe chakula chako hakitiwi sumu hata ya panya au ikiwemo ijukikane ni teknolojia inayotumia mamilioni vilevile.
 
Kwenye silaha kuna kitu kinaitwa source code. Ni mfumo wa mawasiliano wa subsystems za silaha. Hiyo kitu ni very sensitive na critical mno.

Ufaransa kidogo ikose deal la mabilioni ya dola kwa India baada ya India kulazimisha source codes za Rafale fighter jet. Ili India iweke missiles zake yenyewe, iwe na control ya computer ya ndege na iwe na kuweza kufanya editing kidogo na upgrade fulani. Jambo hilo Ufaransa imekataa mpaka sasa wako kwenye mgogoro wakati deal ni la ndege 114.

Marekani akikupa silaha kuna sehemu hutakiwi kupiga bila ruhusa yake, Russia na China hawazuii. Ufaransa iliiuzia Argentina makombora ya Exocet ya kudungua meli, ikauza na ndege. Alafu Argentina ikaingia vitani na Uingereza. Kwanini Uingereza isitafute Wafaransa wakayafunge vibaya makombora ili yasilipuke? Ilikuwa Falklands war.

So maintenance sio kuendeleza kuchukua pesa tu. Ni kulinda maslahi na kuzuia matumizi yasiyoendana na foreign policy ya wauzaji. Ndio maana uhuru kamili ni kuunda silaha zako. No strings attached.

Juu ya Marekani, founding fathers wake walikuwa wachache sana ukilinganisha na ukubwa wake. US haikuundwa na vilaza, wala watu nyolo nyolo. Walikuwa watu wanywaji wa pombe kali, walaji wa chakula kingi hasa nyama, vipande vya watu warefu na wazito kwa kilo. Pia wasomi na wajuzi wa fani husika. Na pia ni athletes mara huyu bondia, huyu anapiganisha vita, huyu anamiliki watumwa na ni mbabe.

Kwahiyo nchi iliundiwa misingi na watu wachache sana sio libunge likuubwa watu 300 na kitu. Mtu hata kuuza nyanya hajawahi naye mbunge. Katiba yao yenye miaka zaidi ya 200 bila kubadilishwa iliandikwa na watu wachache mno na iko accurate mpaka leo, mfano James Madison mmoja ni sawa na wabunge 200 pale Dodoma.
Watu 55 walitumia miezi minne kuandika katiba ambayo waliosaini ni 39 tu. Mpaka leo ipo.

Njoo Malawi miaka mingapi imepita na rasimu tu. Na teknolojia yote iliyopo.
Asante Sana na Mwandishi kama wewe kwenye Jukwaa hili
 
Jeshi la Saudi Arabia ni model sawa na jeshi la Libya ya Gaddafi na jeshi la Syria ya Bashar al Assad.

Kuna tawala ambazo majeshi yao kuwa na nguvu sio kipaumbele, bali kipaumbele ni majeshi yao kuwa watiifu. Kwahiyo tawala hizo hufanya sabotage kuhakikisha majeshi hayawi na nguvu, uhuru, akili, uongozi shupavu na utayari wa vita ili kusitokee mapinduzi.

Vikosi competent pekee huwa ni kikosi cha kulinda serikali, bunge, mahakama na ikulu na wale protection unit ya kiongozi wa nchi. Hizo special forces pekee ndio huwa imara kila kona na huongozwa na the most trusted people kama mabinamu na wapwa wa watawala.

The rest ni vikosi oya oya mafunzo sifuri, coordination hamna, utayari hamna, na vinaongozwa na machawa tu wala sio makamanda wenye uwezo.

Model hiyo ya jeshi huwa inanunua silaha nyingi kumtisha adui wa nchi jirani aogope kuleta uchokozi. Na huwa majeshi hayo yanakwepa sana confrontation za nje ili uwezo wake usijulikane waziwazi. Huwezi wasikia sijui wamelinda amani au wameshiriki joint task force, sana sana Saudi Arabia itatuma hela, inunue silaha kisha nchi maskini zinazojiamini ndio zitumie huo msaada kwenye kulinda amani.

Mara ya mwisho Gaddafi anajaribu kumsaidia Iddi Amin majeshi yake yalipigwa na JWTZ. Ni majeshi njaa yaliyokuwa na sifa nilizotaja hapo juu, ila yana silaha nzuri.
Vilevile Gaddafi alishindwa vita ya Chad wakati Chad ni maskini tu na Jenerali Derby akiongoza vikosi kwa silaha nyepesi kabisa. Gaddafi na kuvaa magwanda kila siku maisha yake yote hajawahi pigana vita yoyote akashinda.

Ambacho hayo majeshi yanajua vizuri ni kupiga raia. Wana mbinu za kila aina za kupiga raia na kukamata watu, jambo ambalo majeshi kama ya UK au France yanaweza fundishwa nao.

Vilevile ni sera ya Saudi Arabia kununua silaha nyingi kwa washirika kwa makubaliano italindwa. Last time inakaribia kuvamiwa alikuwa ni Saddam Hussein aliyekuwa na silaha nyingi na jeshi la kawaida tu, alivyoivamia Kuwait na kukaribia kuivamia Saudia ambayo haikuwa na silaha kabisa ndipo Mfalme wa Saudi akaanzisha defense policy ya kununua silaha nyingi na kuweka kambi za superpower ili jirani mwenye fujo aogope kukuvamiwa.

That policy worked well, mpaka Iran ilipopata makombora na drones makundi kama Houthi yakapewa.
Lakini pia kwa Gulf Countries raia wake hawana mahaba na jeshi sana au kupigana vita, labda kwa sababu ya maisha ya kustarehe
 
Houthi wamefugwa mpaka kufikia hapa. Ni sawa na Nigeria ilivyowafuga Boko Haram na kujiendekeza.

Kitu kingine, ni rahisi zaidi kushambulia kuliko kujilinda. Na haijawahi tokea popote duniani silaha ya kushambulia ikawa na bei kubwa kuliko silaha ya kujilinda.

Unaweza kusoma hadi ukawa Professor kwa kutumia mamia ya mamilioni, nikakuua kwa sumu ya panya inayouzwa mia tano. Ila ili uhakikishe chakula chako hakitiwi sumu hata ya panya au ikiwemo ijukikane ni teknolojia inayotumia mamilioni vilevile.
Tomahawk ambapo ni cruise missile ya kimarekani na ambayo ilikuwa inategemewa na ya muhimu zaidi kwenye hii vita na Iran ina cost hadi 2.5 usd million...

Damage inayofanya huwezi linganisha na ballistic missiles za Iran...

Silaha za US iwe ya kujilinda ama kushambulia it's obviously zina gharama kubwa sana....

Kingine ndicho hiko nasema mbinu za kivita...

Iran hao ndio wanawapa mafunzo hao Houthis...

Mfano mdogo tu, hii vita iliyopita, Iran wamefanya military deception..
Wameweka paintings za 3d na decoys za launchers, missiles na ndege vita...

CIA waliona targets kwenye satellite, wakaona launchers zipo pale na pale , ndege vita zipo pale na kule, missiles zimerundikwa mahala flani...

US wakaona hawa washenzi ngoja tuwaonayeshe sisi ni kina nani...

Wamerusha Tomahawk missiles mpaka zimeelekea kuisha kabisa... unapiga mchoro wa helicopter lakini huoni hata panga la helicopter likicheza...

Huko jangwani na kwenye milima IRGC wakaweka ghost launch sites, launcher hadi za mbao na fiberglass zilikuwepo..

Hizo decoys walipaka rangi maalumu mbapo satellite ziliona ni chuma halisi.. hadi infrared sensor za hizo satellite ziliona vile vifaa ni halisi...

Vita kipindi inaendelea, Trump anapewa taarifa mheshimiwa huko Iran inamalizwa.... Trump ana tweet, kwamba uwezo wa Iran wa makombora na launchers umepungua kwa kiasi kikubwa sana....

Kuna muda Trump akasema Iran wamebaki na kama 22 ama 21 % ya makombora waliyonayo...

Hapa jamiiforums kila muda zilikuwa ni post kwamba Iran Tehran inapigwa kila kona, kumbe wanapiga decoys, ghost launch sites na 3D paintings....

Kumbe makombora yapo kwenye missile cities underground, kwa namna yeyote tu ilibidi US asimame hio vita...

Kwa rekodi tu, katika vita zote unazofahamu US kapambana ikowemo operation desert storm, hii vita ndio US katumia tomahawks nyingi zaidi kuliko vita ya aina yeyote unayofahamu toka hizo cruise missiles zianze kuzalishwa...

Hivyo kwa ufupi tu, Saudia kazidiwa mbinu za kivita... plus ni jeshi linajihusisha na masuala ya kisiasa... hivyo lipo weak...

Lakini kwa Houthis wanachofanya kongole ziende nyingi kwa Iran..
 
Kununua silaha nyingi sio kuwa na uwezo wa mapigano
Sasa maslaha ya mabilioni yananunuliwa ya nini, kutishia watu au?

Kwa kweli inashangaza sana hawa Saudia kulizwa kiasi hiki na Hothi.

Jambo jingine linaloshangaza ni vipi washirika wa Saudi, Turkey na Pakistani, mbona hawaji kusaidia?
 
Daudi versus Goliath

Tatizo Uthubutu.
Ingependeza sana nasi tukawapo na "uthubutu" wa kumkabili huyu mhalifu Samia hapa kwetu; siyo uthubutu walioutumia wazalendo waliolaza roho zao Oktoba 29; bali uwe uthubutu wa kwelikweli kumkabili huyu jambazi.
 
Silaha za US iwe ya kujilinda ama kushambulia it's obviously zina gharama kubwa sana....
"Gharama kubwa si hoja mkuu '100 others'. Inajulikana jamaa wanavyo'inflate' matengenezo ya hizo silaha na mameli yao mengi.

Kwa upande wa matumizi ya huko kwenye ulinzi jamaa hawajambo sana kufumba macho.
Wewe fikiria hiyo vita hadi sasa zaidi ya bilioni 300 zilishakatika; na bado uharibifu wa mali haumo kwenye gharama hizo!
 
Tomahawk ambapo ni cruise missile ya kimarekani na ambayo ilikuwa inategemewa na ya muhimu zaidi kwenye hii vita na Iran ina cost hadi 2.5 usd million...

Damage inayofanya huwezi linganisha na ballistic missiles za Iran...

Silaha za US iwe ya kujilinda ama kushambulia it's obviously zina gharama kubwa sana....

Kingine ndicho hiko nasema mbinu za kivita...

Iran hao ndio wanawapa mafunzo hao Houthis...

Mfano mdogo tu, hii vita iliyopita, Iran wamefanya military deception..
Wameweka paintings za 3d na decoys za launchers, missiles na ndege vita...

CIA waliona targets kwenye satellite, wakaona launchers zipo pale na pale , ndege vita zipo pale na kule, missiles zimerundikwa mahala flani...

US wakaona hawa washenzi ngoja tuwaonayeshe sisi ni kina nani...

Wamerusha Tomahawk missiles mpaka zimeelekea kuisha kabisa... unapiga mchoro wa helicopter lakini huoni hata panga la helicopter likicheza...

Huko jangwani na kwenye milima IRGC wakaweka ghost launch sites, launcher hadi za mbao na fiberglass zilikuwepo..

Hizo decoys walipaka rangi maalumu mbapo satellite ziliona ni chuma halisi.. hadi infrared sensor za hizo satellite ziliona vile vifaa ni halisi...

Vita kipindi inaendelea, Trump anapewa taarifa mheshimiwa huko Iran inamalizwa.... Trump ana tweet, kwamba uwezo wa Iran wa makombora na launchers umepungua kwa kiasi kikubwa sana....

Kuna muda Trump akasema Iran wamebaki na kama 22 ama 21 % ya makombora waliyonayo...

Hapa jamiiforums kila muda zilikuwa ni post kwamba Iran Tehran inapigwa kila kona, kumbe wanapiga decoys, ghost launch sites na 3D paintings....

Kumbe makombora yapo kwenye missile cities underground, kwa namna yeyote tu ilibidi US asimame hio vita...

Kwa rekodi tu, katika vita zote unazofahamu US kapambana ikowemo operation desert storm, hii vita ndio US katumia tomahawks nyingi zaidi kuliko vita ya aina yeyote unayofahamu toka hizo cruise missiles zianze kuzalishwa...

Hivyo kwa ufupi tu, Saudia kazidiwa mbinu za kivita... plus ni jeshi linajihusisha na masuala ya kisiasa... hivyo lipo weak...

Lakini kwa Houthis wanachofanya kongole ziende nyingi kwa Iran..
Unao uelewa wa kutosha kuhusu haya mambo.
 
Saudi Arabia ananunua silaha kama appeasement policy dhidi ya USA.

Kipindi MBS alipomuua Jamal Kashoggi kwenye ubalozi wa Saudi Arabia nchini Uturuki, kulitokea wito kwa wanaharakati Marekani iiwekee vikwazo Saudia au MBS mwenyewe. Wakanunua silaha.

Ikitokea uvunjivu wa haki za binadamu. Saudi inanunua silaha.

Ikitokea Trump anafanya ziara kwao. Wananunua silaha.

Ikitokea wao wanaenda kwa Trump. Wananunua silaha.

Kwahiyo wao kununua silaha ni sera, sio mahitaji. Ndio maana wana silaha hata kuzitumia vizuri hawajui wala package ya training hawaizingatii. Maana maintenance itafanywa na Western contractors.

Kama ambavyo madikteta wa Kiafrika wakitaka kujipendekeza wanatoa rasilimali, wa Kiarabu wanatumia hela za mafuta kununua vitu vya gharama. Wakukwepa silaha wataweka order kubwa ya Boeing.
Umeyasema yote, mkuu 'T14 Armata'.

Na kuhusu huo mstari wako wa mwisho na nusu, yanatuhusu sana Tanzania sasa hivi kuhusiana na madini ya Nickel, rare earth na gesi ya kule baharini. Sasa hivi kwa hali yetu hii tuliyomo, husikii kelele nyingi tokea huko. Vile vikelele vya mwanzo vya ule mswada jamaa wamevizima, akina Kombo na kikampuni chao cha ku-lpbby walichokipa kazi ya kuwasafisha,
Sasa mambo yanakwenda tu kimya kimya, husikii kelele tena.
 
Kuna tawala ambazo majeshi yao kuwa na nguvu sio kipaumbele, bali kipaumbele ni majeshi yao kuwa watiifu. Kwahiyo tawala hizo hufanya sabotage kuhakikisha majeshi hayawi na nguvu, uhuru, akili, uongozi shupavu na utayari wa vita ili kusitokee mapinduzi.
Bila shaka unawazungumzia JWTZ ya Samia Suluhu Hassan.
It's a profound statement you've made, even if it was made unintentionally to describe our dire situation!
 
Back
Top Bottom