Mimi wala sijazungumzia kuhusu landmines za 1990's, nazungumzia za juzi Tu Hapa zilizowekwa na hao ndugu zako Houthi, wao ndio walioweka Kwa kiasi Kikubwa kuliko yoyote Yule katika historia ya Yemen, Vitendo au tactics za kigaidi namna hiyo ndio zimeifikisha Yemen ilipo katika baadhi ya maeneo, Mimi siko bias kama wewe. Nyie Houthi mnatumia maisha ya watu kwaajili ya maslahi yenu binafsi ya kiitikadi wakati watu wanachotaka ni Amani na maisha Bora, Houthi na Saudia hawana tofauti yyte so msijaribu kujitoa kwenye hizo lawama maana PR yako kwao haisaidii kitu.
Kumbe hata wewe mwenyewe hujui kitu, nilikwambia kule juu Isije ikawa najadili na mtu wa juzi maana Kusema Houthi ilianza kama Ansaullah ni UONGO mkubwa au ni Kutojua mwanzo wa kitu, Jina la Kwanza kabisa la movement lilikuwa ni Al shabab Al muumin japo malengo Yao yalikuwa tofauti kidogo na sasa, then wakawa wanabadili kulingana na malengo, nyakati na matukio yanavyokwenda ndo sasa Yakaja majina kama Houthi na Hilo Ansarallah...Na kiufupi ni kwamba hata ikitokea Houthi wakashika nchi mazima still bado wataendelea kuwa chini ya familia Ile Ile ambayo iko centered na Houthi yenyewe, sasa huo si ugonjwa?
Kimsingi ni kwamba social structure ya Yemen haifanyi kazi Sana Kwa koo kama unavyosema, Kwa kiasi Kikubwa ni Confiderations za makabila au koo ndio zinafanya kazi, Kusema iliundwa na koo kubwa nne ni UONGO mtupu kabisa na kuhusu kuwa descendants wa Muhammad kama nilivyosema ni rumours tu but ni rumours za kawaida Kwa Hashemite hasa MASHIA ili Ku justify their deeds.
Sio mji Tu Bali sehemu mbalimbali kama nilivyosema hata mashule mengi sanaaa. Ni sehemu nyingi Sana walifanya hivyo.