Ulikuwa sio wewe bali aliye ndani yakoView attachment 126484Hii ndo ilikuwa siti yangu hapo kushoto kama inavyoonekana pichani,nilitokaje?mimi sijui bali nilihadithiwa na mashuhuda waliokuwa noah ya nyuma!
Maisha yetu ni kwa neema tu! Mpendwa unasali kanisa gani? Karibu kwetu fgbf pale mwenge na Mungu atakubariki!