King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,976
Halafu kuna wapumbavu humu JF wanaleta mada za kijinga,eti hakuna MUNGU,niliwatukana eti cha ajabu nikawa banned kwa siku 8,nisipate access ya JF,sasa natoa amri ni marufuku kwa mtu yoyote asiyemwabudu MUNGU kuwa member wa JF,kama wapo humu ambao hawatambui uwepo wa MUNGU,nawapa siku 30 kuanzia leo waokoke,kama hawataki basi waondoke JF kwa amani,wasipoondoka,JF itakufa,na itakuwa mwisho wa uhai wa JF,na kama JF itaendelea kuwepo na member wasiotambua uwepo wa MUNGU,basi tukio lisilo la kawaida litatokea,hebu tusubiri mtaona!
Yesu nae alisema 'na kondoo wengine ninao, nao si wa zizi hili...' unaelewa maana yake?