Mbona bibie mkono wake mweupe 😁🤔
Hiyo mikono minene ya kopa ehh.
Kama PonjoroMbona bibie mkono wake mweupe 😁🤔
Behind the scene
Hilo li mama lina mikono minene hadi Raha, nime waza liki shika maiki au basi 😂 😂Hapa sasa ndio umetisha, mikono ya Bi Khadija hiyo na hiyo simu ni ya Zuchu.
Imeisha.
Mawazo ya kijobless 😂😂😂Hilo li mama lina mikono minene hadi Raha, nime waza liki shika maiki au basi 😂 😂
Mimi ni raisi wa ma jobless pro max, lazima niwe na ubunifu katika kufikiri.Mawazo ya kijobless 😂😂😂
Ponjoro again😄😄Kama Ponjoro
Kabisa. Ajira Sawa hatuna tumezikosa na hivi vitu zingine tukose kweli😄hapanaMimi ni raisi wa ma jobless pro max, lazima niwe na ubunifu katika kufikiri.
Hii si habari,habari ni talaka...tutafuti habari chanzo chetu cha kuaminika
Na hata kabla ya hiyo Ramadhan ijayo, mambo yashakua tofauti dear.Kama ni kweli ajiandae...
Ile familia inataka kuwa imara sana...
Vinginevyo Ramadhani ijayo mambo yanaweza kuwa tofauti..