😂😂😂😂Hii si habari,habari ni talaka...tutafuti habari chanzo chetu cha kuaminika
Ni sawa, lakini hapo kati hukuja kututhibitishia km ilikua tayari, means hukua na uhakika km jambo liko au haliko.Lakini alishaolewa mwaya.
Darling, mimi niliwaambia Zuchu anatolewa posa na anaolewa. Uhakika wa Diamond kumuoa Zuchu nilikuwa nao ndio maana nikawaletea hapa wakati ambao hakuna yeyote aliyeripoti hilo.Ni sawa, lakini hapo kati hukuja kututhibitishia km ilikua tayari, means hukua na uhakika km jambo liko au haliko.
Hii hapa Domokaya, aliwaweza wambea, maana hata Mange hakua na in4 kabisaa.
Na hata hapa, bado hatujui ni kweli au laah, ukute behind the scene, na kwa kiki vile wako vyedii, hawachelewi kurusha roho waja, Lol
Basi sawaa.Darling, mimi niliwaambia Zuchu anatolewa posa na anaolewa. Uhakika wa Diamond kumuoa Zuchu nilikuwa nao ndio maana nikawaletea hapa wakati ambao hakuna yeyote aliyeripoti hilo.
Hii habari imepingwa sana, nimesumbuliwa na kupewa shutuma za kila namna hadi nilijuta na niliongea hilo na chanzo changu na tutakubaliana kukaa kimya nisiongelee lolote kuhusu hili hadi itakapokuja kuonekana kama hivi.
So, nilichokisema kimeshakuwa regardless hayo mengine sio juu yangu.
wewe ndio ulisema Hamisa ni demu wa Injia ila Kabambikiwa azizi ki ili kuzima soo kwa mke mke wa hersi.Darling, mimi niliwaambia Zuchu anatolewa posa na anaolewa. Uhakika wa Diamond kumuoa Zuchu nilikuwa nao ndio maana nikawaletea hapa wakati ambao hakuna yeyote aliyeripoti hilo.
Hii habari imepingwa sana, nimesumbuliwa na kupewa shutuma za kila namna hadi nilijuta na niliongea hilo na chanzo changu na tutakubaliana kukaa kimya nisiongelee lolote kuhusu hili hadi itakapokuja kuonekana kama hivi.
So, nilichokisema kimeshakuwa regardless hayo mengine sio juu yangu.
Kuna uzi kama si huu ni mwingine kuna mtu ali comment akasema walifunga ndoa ya siri ni zaidi ya mwezi umepitaNi sawa, lakini hapo kati hukuja kututhibitishia km ilikua tayari, means hukua na uhakika km jambo liko au haliko.
Hii hapa Domokaya, aliwaweza wambea, maana hata Mange hakua na in4 kabisaa.
Na hata hapa, bado hatujui ni kweli au laah, ukute behind the scene, na kwa kiki vile wako vyedii, hawachelewi kurusha roho waja, Lol
Hawashindwi wale...eti hadi bi sanura na babutale naowametuma salamu za pongezi..ngoja tuendelee kunywa mtoriNi sawa, lakini hapo kati hukuja kututhibitishia km ilikua tayari, means hukua na uhakika km jambo liko au haliko.
Hii hapa Domokaya, aliwaweza wambea, maana hata Mange hakua na in4 kabisaa.
Na hata hapa, bado hatujui ni kweli au laah, ukute behind the scene, na kwa kiki vile wako vyedii, hawachelewi kurusha roho waja, Lol
🤣🤣🤣🤣umekubali yaisheBasi sawaa.
Kwa kweli, 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣umekubali yaishe
Nyama ziko chini, wacha tusubirii.Hawashindwi wale...eti hadi bi sanura na babutale naowametuma salamu za pongezi..ngoja tuendelee kunywa mtori
Itakua labda, maana hatukua tunafahamu kabisa.Kuna uzi kama si huu ni mwingine kuna mtu ali comment akasema walifunga ndoa ya siri ni zaidi ya mwezi umepita
Unfortunately ndoa yenyewe duh huzuniView attachment 3225842
Hatimaye!
Baada ya sarakasi nyingi, Msanii Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amekata shauri la kumuoa mpenzi wake ambaye ni msanii ndani ya lebo yake ya muziki (WCB) Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’
Uamuzi huo umekuja huku kukiwa na sintofahamu nyingi juu ya mahusiano yao ambapo mwishoni mwa mwaka jana Zuchu alitangaza kwa mara nyingine kuachana kwao japo amekuwa akifanya hivyo mara nyingi na baadaye kurudiana.
Safari hii mambo yamekuwa tofauti kidogo baada ya majuzi kuibuka ugomvi ndani ya kampuni upande wa redio kwa Zuchu kuwashutumu wafanyakazi wa Diamond kumvunjia heshima.
Zuchu ameonekana ‘kukaza’, hajacheka na yeyote akiwemo Diamond mwenyewe na pengine hili limesogeza karibu ndoa yao.
Zuchu ameshinda vita iliyowashinda wengi?…
The mother in law from hell, Mama Diamond amekuwa mwiba mchungu takribani kwa kila mwanamke aliyetoka kimapenzi na Diamond.
Amesemekana kikwazo kikuu kwa Diamond kuoa, hivyo posa hii kwa Zuchu inatuacha njia panda kwamba Mama Dangote kapata kiboko yake? Je posa hii ina baraka za mama yake Diamond?
Ndoa ni kabla ya Ramadhani…
Mwezi uliopita Diamond akiwa na msanii mwenzie Nandy katika mkutano mkuu wa CCM, alionekana akisema atamuoa Zuchu kabla ya Ramadhani ya mwaka huu ambayo inategemewa kuanza mapema mwezi Machi.
Diamond amekuwa akitoa ahadi nyingi hivyo wengi hatukuchukulia tamko lile kwa uzito, nimeshtuka baada ya kupewa taarifa za uhakika kuwa ni kweli na posa hiyo itapelekwa nyumbani kwa Bi Khadija Kopa Ijumaa ya kesho kutwa tarehe 7.
Haya jamani, mambo ndio yako hivyo na hii ni habari endelevu nitakuwa hapa kuwajuza mapema kadiri nitakavyopokea taarifa.
Straight From The Horse’s Mouth,
Nifah.
Nimeona dudu baya YouTube kaongea aisee SS Kwann Siri?Itakua labda, maana hatukua tunafahamu kabisa.
🤣🤣🙌Kiko wapi ssHuyo binti atapigwa sana matukio.
Au labda pesa itampoza machungu....