Tetesi: Hayawi Hayawi, Diamond kumposa Zuchu Ijumaa!

Tetesi: Hayawi Hayawi, Diamond kumposa Zuchu Ijumaa!

Nimeona sheikh Walid amekili alifungisha hii ndoa aiseee.
Ya mkeka 😁, Ila zuchu ameshikika pabaya sijui kwanini alikubali kuingia kwenye label ilihali mama ake ana pesa angeweza kupambana mwenyewe kama vanesa. Kibaya zaidi akachanganya mapenzi na kazi na sasa anakuwa exploited
 
Back
Top Bottom