Tetesi: Hayawi Hayawi, Diamond kumposa Zuchu Ijumaa!

Tetesi: Hayawi Hayawi, Diamond kumposa Zuchu Ijumaa!

Sasa kulikiwa na maana gani ya kuniuliza yale maswali? Acha kutafuta reactions na sifa kwa comments za kipuuzi.
😂😂😂
Una wazimu wewe!
Niache kwenda kutafuta reactions kwa Elon Musk Nyamihela nitafute reactions humu kwa mganga njaa mwenzangu Maxence Melo?

Wewe kumsema mwenzako Zuchu kuwa yupo na Diamond kimaslahi sio kutafuta reactions!?
Ila mimi kukuhoji wewe kutokana na ulichokisema ndio imekuwa kutafuta reactions!?
 
Wewe kumsema mwenzako Zuchu kuwa yupo na Diamond kimaslahi sio kutafuta reactions!?
Ila mimi kukuhoji wewe kutokana na ulichokisema ndio imekuwa kutafuta reactions!?
Mimi nimetoa maoni yangu ila wewe unatafuta reactions la sivyo usingeuliza haya maswali.👇👇
Kwahiyo Diamond akuoe wewe?
Wewe ndio haupo kimaslahi, eti?
 
Mimi nimetoa maoni yangu ila wewe unatafuta reactions la sivyo usingeuliza haya maswali.👇👇
Tunapangiana maswali ya kuuliza?
Nimeuliza maswali kulingana na hayo maoni uliyotoa.
Otherwise useme haujayapenda maswali yangu.
 
Iko hivi Zuchu Ni msaanii mzuri sana Ila akitoka WCB ndo kajimaliza hata Kiki tena Na uwezekano mkubwa akiolewa Na Simba mziki wake mzuri ukadrop so kila kitu kinawezekana.
Ndoa ya kimkakati, Dai kashaona life span ya muziki wake inadecline.....na pesa ya muziki anaitaka....Pia Zuchu anamuingizia pesa nzuri.....
Anamuoa ili kumfunga asiondoke, pesa iendelee kuflow kwake.
 
IMG_6871.jpeg

Kaka ameshasema, tuendelee kunywa mtori…
 
View attachment 3225842

Hatimaye!
Baada ya sarakasi nyingi, Msanii Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amekata shauri la kumuoa mpenzi wake ambaye ni msanii ndani ya lebo yake ya muziki (WCB) Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’

Uamuzi huo umekuja huku kukiwa na sintofahamu nyingi juu ya mahusiano yao ambapo mwishoni mwa mwaka jana Zuchu alitangaza kwa mara nyingine kuachana kwao japo amekuwa akifanya hivyo mara nyingi na baadaye kurudiana.

Safari hii mambo yamekuwa tofauti kidogo baada ya majuzi kuibuka ugomvi ndani ya kampuni upande wa redio kwa Zuchu kuwashutumu wafanyakazi wa Diamond kumvunjia heshima.

Zuchu ameonekana ‘kukaza’, hajacheka na yeyote akiwemo Diamond mwenyewe na pengine hili limesogeza karibu ndoa yao.

Zuchu ameshinda vita iliyowashinda wengi?…
The mother in law from hell, Mama Diamond amekuwa mwiba mchungu takribani kwa kila mwanamke aliyetoka kimapenzi na Diamond.

Amesemekana kikwazo kikuu kwa Diamond kuoa, hivyo posa hii kwa Zuchu inatuacha njia panda kwamba Mama Dangote kapata kiboko yake? Je posa hii ina baraka za mama yake Diamond?

Ndoa ni kabla ya Ramadhani…
Mwezi uliopita Diamond akiwa na msanii mwenzie Nandy katika mkutano mkuu wa CCM, alionekana akisema atamuoa Zuchu kabla ya Ramadhani ya mwaka huu ambayo inategemewa kuanza mapema mwezi Machi.

Diamond amekuwa akitoa ahadi nyingi hivyo wengi hatukuchukulia tamko lile kwa uzito, nimeshtuka baada ya kupewa taarifa za uhakika kuwa ni kweli na posa hiyo itapelekwa nyumbani kwa Bi Khadija Kopa Ijumaa ya kesho kutwa tarehe 7.

Haya jamani, mambo ndio yako hivyo na hii ni habari endelevu nitakuwa hapa kuwajuza mapema kadiri nitakavyopokea taarifa.

Straight From The Horse’s Mouth,

Nifah.
Mrejesho
 
Wakati wa Ramadhan mbona habari zilisambaa Diamond kumkimbia Zuchu siku ya mahari hamkuona? Hadi Mange alisema mbona?

Nilikaa kimya tu maana nilishawaambia hamkuamini. Diamond aliandaa watu na kila kitu tayari, ila ndio hivyo familia yake (hasa mama yake) imekataa.

Kilichobaki ni kusubiri tu nani atashinda hii vita maana wamekutana vingunge Bi Sanda na Khadija Kopa.
 
Duh
 
Back
Top Bottom