Haya tena ndugu zangu leo hii tena ndio My Happy birthday yangu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,845
2,000
Asalaam alaykum Marafiki zangu wote Wanachama watukufu wa Jamii Forums. Siku ya Leo ndio ni siku yangu tukufu ya

Kuzaliwa ninamshkuru Mwenyeezi Mungu kwa kuniweka mpaka siku hii ya leo ya kuzaliwa na kuwa na Afya bora na uzima

hakuna budi Kumshukuru Mwenyeezi Mungu kwa kuweza kunifikisha mpaka hii leo na kutimiza miaka 48 leo ndio Sikukuu

yangu ya kuzaliwa ningependa kuwaambie Marafiki zangu wote wa jamii forums na Ma-Moderator kwa kushirikiana nao

katika hali na mali furaha na huzuni katika kuchangia hii Jamii forums mawazo yangu na mawazo yenu ninawashukuruni

Wote Wanachama na Ma Moderator kwa uvumilivu wenu juu yangu na Leo hii ndio Sikukuu yangu ya kuzaliwa najipongeza

kwanza mimi Mwenyewe Happy Birthday MziziMkavu............ Karibuni wote.....Kusheherekea Sikukuu yangu nawakaribisha asanteni.........
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,813
2,000
Shkamoo dr.
Nakutakia heri ya siku ya kuzalika.

Naahidi kuacha kubishana na wewe kaka mkubwa. Kwa vile ni besdei yako naomba unipe ofa ya ile dawa ya kuwa model walau ya mwezi tu nianze.kuwa guinea pig wako.

Asante kwa nyakati nzuri za kutaniana na kuelimishana humu jamvini (zile za mapicha ya.kutisha upunguze basi,lol)
 
Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,845
2,000
Angalia Nape Nnauye asikuite Baba sasa hivi kwa kumaliza bomba 48, hihihiiii.....

Hongera zako kijana. Ntakunywa gongo na nyama pori hapa Sikonge kwa afya yako.
Mkuu Sikonge Nakwambia umri unakwenda tunakuwa vipara mvi ndio hizo zinakuja kwa nguvu tunafaa tuitwe baba ndugu kazi kweli asante ukinywa gongo uitie kidogo na maji usile tu kitomoto kunywa gongo kwa Starehe yako kaka.

Shkamoo dr.
Nakutakia heri ya siku ya kuzalika.

Naahidi kuacha kubishana na wewe kaka mkubwa. Kwa vile ni besdei yako naomba unipe ofa ya ile dawa ya kuwa model walau ya mwezi tu nianze.kuwa guinea pig wako.

Asante kwa nyakati nzuri za kutaniana na kuelimishana humu jamvini (zile za mapicha ya.kutisha upunguze basi,lol)
bibie King'asti Asante sana sitoweka picha za kutisha nikakuita wewe tena unisamehe kwa yote niliyokutendea hahah Dawa ya kuwa model kata majani ya Mkunazi uyakaushe kisha yakikauka uyatwange yawe

unga uwe unayachanganya na maji ya kawaida uwe unajipaka usoni na mwilini mwako kila asubuhi unapotoka katika kutafuta rizki zako za kila siku utaona ajabu mambo yako yanavyobadilika utakuwa ni mtu mwenye bahati ya kupata pesa katika maisha yako ninakupa zawadi yangu hiyo usimpe mtu wala kumwambia mtu iwe siri yako .Ninakutakia kila la

kheri na wewe asante bibie mpendwa wewe katika wanawake humu Jamii forums ni namba 1 kwa kuni Support mimi Ubarikiwe Mbinguni na malaika waitikie ameen.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,987
2,000
@MziziMkavu I would like to take this opportunity to wish you good health, love, happiness and prosperity. Thank you so much for being one of the positive members of this forum. Happy Birthday Brother.

48th-birthday-002.jpg

Sagittarius Man

There are very less chances of finding a Sagittarius man alone. In most probability, you will always find him surrounded by a crowd. It will be entirely upto you to move away that crowd and get closer to him. He is also very optimistic about life and this optimism may sometimes border around blind faith. This attitude leads him to trust almost everyone and, more often than not, he ends up getting hurt. A Sagittarian male will always be running after some high dreams, which probably no one even thought of before.

While running, he often fails to see the puddles, falls flat on his face and then, gets hurt. It does not mean that the dreams are not practical. He would have investigated them thoroughly and they will be realistic too, even though the world is not yet ready for them. The problem is that in his enthusiasm, he trusts everyone and some of those people thrash his dreams, even before he could try to realize them. However, a Sagittarius guy has an exceptionally good luck, which seldom runs out.

Even though his dreams don't turn out to be the way he planned, he'll always end up with something useful. There may be times when he returns empty-handed, but then, he has the ability to forget this and move on again. Same is the case with love also. Sagittarian men tend to move over lost love with as much ease as lost dreams. When they form friendships, they tend to look much beyond the external appearances. The heart matters to them more than the looks. A Sagittarius man doesn't have many enemies.
You can even say that if the relationship doesn't lead to marriage, you can still be good friends. In all the probability, your Sagittarian man will propose marriage and make it work too. He will never let his family members or relatives interfere in your life and you will be expected to do the same. Never ever doubt his integrity or you will have to bear his nasty temper. When and if he is wrong, he will always come and admit it. He believes that truth and honesty is the basis of all relationships and he will make sure to follow this.

A Sagittarius man wants his wife to mingle with people just as he does. If you are a little reserved, try to come out of your inhibitions. He will never try to put curbs on you and he will not mind even if you work after marriage. With him, prepare yourself for some forthright criticism. Infact, by this time, you should have gotten used to it. He may take time to get used to kids, but once he does, he will become their closest buddy and give them lots of love and affection. Don't neglect him when the children come. He was the first love of your life and should remain so. Just be there when he trips and will always be there for you in return!
 
Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,845
2,000
MziziMkavu I would like to take this opportunity to wish you good health, love, happiness and prosperity. Thank you so much for being one of the positive members of this forum. Happy Birthday Brother.

Asante sana Mkuu BAK GOD Bless you Ameen...............

MziziMkavu mie nilishatupia kule fesibuku ila sio ubaya na huku, hapy bday dr. mzizi....................
Asante sana Mkuu C6 GOD Bless you ..........................
 
Last edited by a moderator:

King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,813
2,000
Mkuu Sikonge Nakwambia umri unakwenda tunakuwa vipara mvi ndio hizo zinakuja kwa nguvu tunafaa tuitwe baba ndugu kazi kweli asante ukinywa gongo uitie kidogo na maji usile tu kitomoto kunywa gongo kwa Starehe yako kaka.

bibie King'asti Asante sana sitoweka picha za kutisha nikakuita wewe tena unisamehe kwa yote niliyokutendea hahah Dawa ya kuwa model kata majani ya Mkunazi uyakaushe kisha yakikauka uyatwange yawe

unga uwe unayachanganya na maji ya kawaida uwe unajipaka usoni na mwilini mwako kila asubuhi unapotoka katika kutafuta rizki zako za kila siku utaona ajabu mambo yako yanavyobadilika utakuwa ni mtu mwenye bahati ya kupata pesa katika maisha yako ninakupa zawadi yangu hiyo usimpe mtu wala kumwambia mtu iwe siri yako .Ninakutakia kila la

kheri na wewe asante bibie mpendwa wewe katika wanawake humu Jamii forums ni namba 1 kwa kuni Support mimi Ubarikiwe Mbinguni na malaika waitikie ameen.

hahaha, dr mbona mgomvi. Mie siamini kwenye bahati. Naamini kwenye fate iliyopangwa na Mungu na katika kuvuna nilichopanda tuu. Naongelea vidonge vya kupungua uzito, utoe freebiees walau ya dose ya mwezi banaa.
 
Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,845
2,000
Mkuu BAK umenichokoza kuhusu Star nimeamuwa kuweka kabisa hapo chini:

NYOTA YA MSHALE (SAGITTARIUS)

  • Hii ni nyota ya tisa katika mlolongo wa nyota 12.
  • Wenye nyota hii ni wale waliozaliwa kati ya tarehe 22 November na 21 December ya mwaka wowote.
  • Sayari yao ni Jupiter (Attarid).
  • Siku yao ya Bahati ni Alhamisi.
  • Namba yao ya Bahati ni 3.
  • Rangi yao ya Bahati ni Hudhurungi.
  • Asili yao ni MOTO.
KIPAJI CHA MSHALE (Prophetic)
Wenye nyota hii wana kipaji cha kutabiri na kujua mambo ambayo yatatokea mbele au muda utakaokuja, na mara nyingi wanalolisema huwa linatokea hata likiwa la kipuuzi.

TABIA ZA MSHALE

Wenye nyota ya mshale ni wenye tabia ya kuwa na matumaini ya mafanikio kwa lolote wanalolitegemea. Wanapenda kuwa na uhuru wa kupenda na kuchagua na wanapenda watu wengine wawe kama wao.

Hawapendi mambo nusunusu na ni watu ambao wako wazi na wanaopenda kusoma. Ni wakweli na ukitaka kuelewana nao na wewe uwe mkweli.

Ni watulivu na ni waaminifu na wanapenda uadilifu. Ni watu ambao hawapendi kuamrishwa kufanya jambo kwa sababu wanaamini kwamba wao wenyewe wana uwezo mkubwa wa kutekeleza jambo lolote, lakini likiwaudhi wanakuwa wakaidi na wasioweza kutii amri.
Wenye nyota hii hawaoni taabu kusema lolote bila kujali athari zake mradi jambo hilo liwe la kweli.

TABIA YA MSHALE KATIKA MAPENZI

Pamoja na kwamba wenye nyota hii wanapenda wawe huru na wenye kujiamulia mambo yao wenyewe huwa wana starehe na kuona raha wanapokuwa ndani ya uhusiano wa kimapenzi.

Wenye nyota hii wanapenda sana kujihusisha na makundi makundi lakini huwa wanapata muda wa kuwa na wapenzi wao. Ni watu wachangamfu na wenye kupenda lakini tabia yao ya kutojali inawafanya wapenzi wao wajione kwamba wanakosa ulinzi wa kimapenzi.

Wanapoingia katika mapenzi wanakuwa waaminifu. Mwanzoni wanakuwa wagumu sana kujihusisha. Wanapenda sana wakati wote kuwa na wapenzi wapya au mapenzi ya kawaida kwa sababu wanaamini mapenzi ya kudumu yanawanyima uhuru.

Wapenzi wao wanaponyesha dalili ya kuwapenda basi wao huwa wanajiondoa kwa hofu ya kubanwa na kutokuwa na uhuru.

Ni watu wanaopenda kufanya ngono kwa muda mrefu na hisia zao ziko mbali na inashauriwa kwamba wapenzi wao wawe wamekula kabla ya

tendo la ndoa vinginevyo itakuwa taabu.

{mospagebreak}

TABIA YA MSHALE KATIKA FEDHA

Alama ya nyota hii ni Mshale na mategemeo yao ya kifedha yanalenga mbali na juu sana.

Wenye nyota hii fedha kwao ndio njia pekee ya kujikomboa na kupata uhuru hivyo wako tayari kufanya jambo lolote hata kama ni la hatari ili wapate fedha na wanapozipata huzitumia bila mpangilio.

Mara nyingi huwa hawapendi kutafuta fedha zao katika njia za kawaida wanapenda sana kutumia njia tofauti na kubuni mbinu mbali mbali kutekeleza malengo yao.

Ni watu ambao hawaoni haya kumtumia mtu mwenye pesa au uwezo ili watekeleze malengo yao. Kwa sababu hii wengi wao wanakuwa matapeli.

Matatizo yao makubwa ni kwamba wao ni watumiaji wabaya na hawana mipango thabiti ya matumizi ya fedha na ni watu ambao wakitoa ahadi ya fedha hawatekelezi.

MAVAZI YA MSHALE

Wenye nyota ya Mshale wanatakiwa wavae nguo zenye kuathiri na za mzaha mzaha kama koti au blauzi isiyo rasmi au nguo za kitamaduni zilizoongezwa ongezwa vitu vingi kama maua au nakshi nakshi.

Rangi ya nguo zao iwe ya Zambarau au rangi ya Hudhurungi iliyochangamka au rangi ya blue.
Vitambaa viwe vya sufu. Nguo ziambatane na mikanda, na viatu viwe vya buti.Wanawake wapendelee kuvaa sketi.

MATATIZO YA KIAFYA:

Nyota hii inatawala sehemu ya chini ya kiuno. Wenye nyota hii hawapendi kuugua. Lakini huwa wanapata maradhi kutokana na kujishughulisha kupita kiasi na kutumia nguvu zao na akili zao kwa muda mrefu bila mapumziko. Wanathamini sana mizunguko kuliko mapumziko.

Vile vile ni watu wasiopenda ushauri kuhusiana na afya zao.

Tatizo lao lingine ni kuwa wanapenda sana kula na kunywa na hiyo huwaletea unene usiotakiwa. Wakitaka kujikomboa na matatizo wanashauriwa wawe na tabia ya kujipumzisha.

Magonjwa yanayohusiana na nyota hii ni majereha na maradhi ya nyonga, mapaja, maradhi ya ini (Liver Disorder) kupooza kwa miguu (paralysis of limbs) na ugonjwa wa kuumwa mishipa au misuli ya nyuma ya paja.

KAZI YA MSHALE

Kupata au kukosa, kushinda au kupoteza, kuna uchangamfu wa asili kwa nyota hii na uzoefu katika hali yeyote.

Ni watu waaminifu wanaopenda sana mafankio na wako tayari wakati wowote katika kazi. Kutokana na hili wanakuwa na bahati ya kuwa katika sehemu muafaka na katika muda unaotakiwa.

Wenye nyota ya Mshale ni wafanyakazi waaminifu na hawapendi kuwasimamia watu katika kazi. Ni wenye kuwaamini wafanyakazi wao na wanapokuwa ofisini huleta mazingira ya urafiki na kuaminiana.

Kazi zinazowafaa ni za
usafiri, kazi za sheria, Wakili au Hakimu, kazi za uandishi, ualimu, dini, sheikh au padri au makanisani au misikitini, michezo, kazi za kijeshi na uuzaji.
{mospagebreak}

FAMILIA ZA MSHALE

Wazazi wenye nyota ya Mshale ni wenye kuwachangamsha sana watoto wao. Nyumba zao zinakuwa zinajaa vitabu na vifaa mbali mbali na wanawahimiza sana watoto wao wawe huru na majasiri.

Wenye nyota hii wanapenda kuwatembeza watoto wao katika sehemu za elimu, kama vile, Makumbusho au sehemu za kihistoria.

Elimu na masomo hupewa kipaumbele na mzazi mwenye nyota ya
mshale ambaye mara nyingi huhakikisha mtoto wake anasoma. Wazazi hawa

wanapata matatizo makubwa kuwadhibiti watoto wasiosikia kwa sababu wao wenyewe wanapenda uhuru kwa sababu hii huwa wanavumilia tabia mbaya za watoto wao hata watoto wakiwa wajeuri.

MADINI YA MSHALE

Wenye nyota hii wanatakiwa wavae vito vinavyoitwa
SAPPHIRE. Mawe haya nyenye rangi ya bluu yana uwezo mkubwa wa kinyota wa kumletea mvaaji afya nzuri, nguvu na kinga vitu ambavyo wenye nyota hii wanavihitaji.

UHUSIANO WA KIMAPENZI

(Mshale na Mapacha)

Tabia ya kufanya mambo haraka haraka au kukata tamaa na kupenda kuelewa mambo ya wenye nyota ya Mapacha
(GEMINI) inaingiliana vizuri na wenye nyota ya Mshale ambao ni wenye busara na subira na wasiokata tamaa.

VYAKULA VYA MSHALE

Wenye nyota hii wanashauriwa wale vyakula au matunda yafuatayo ambayo yanatawaliwa na nyota yao. Nyama mwitu, kunazi za rangi ya bluu, maboga na juice ya mapera.

NCHI ZA MSHALE

Ili kupata mafanikio ya kinyota kwa wale wenye uwezo wanashauriwa aidha kuishi au kutembelea nchi au miji ifuatayo ambayo inatawaliwa na nyota zao.

Nchi hizo ni USA na SPAIN na miji ni Budapest (Romania) na Cologne (Ujerumani).

RANGI ZA NYOTA

Wenye nyota hii wanatakiwa wapake nyumba zao au vyumba vyao au sehemu zao za biashara rangi zenye kusisimua na uchangamfu na zinazoashiria hali ya kumkaribisha mgeni.

Rangi hizo ni
Nyekundu iliyochangamka (Warm Red) rangi ya Zambarau (Purple) na rangi ya hudhurungi au kahawia (Brown).

Haya Tena Kwa wale waliozaliwa kati ya tarehe 22 November na 21 December ya mwaka wowote Nyota yao itakuwa ni

( NYOTA YA MSHALE (SAGITTARIUS) Tutakuwa tupo sawsawa na mimi jamani muyasome na muyazingatieni haya ni muhimu kwa maisha yetu sisi wenye nyota ya Mshale asanteni.
 
Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,845
2,000
hahaha, dr mbona mgomvi. Mie siamini kwenye bahati. Naamini kwenye fate iliyopangwa na Mungu na katika kuvuna nilichopanda tuu. Naongelea vidonge vya kupungua uzito, utoe freebiees walau ya dose ya mwezi banaa.
hahahah bibie King'asti kwani unapomuomba Mungu unamuomba kitu gani zaidi ya uzima afya,Bahati ya maisha ipo ya aina nyingi kupata watoto wema kazi,kupata mume mwema hizo zote ni jami ya bahati kwani wewe unafikiriaje neno bahati? Katika maisha omba upate bahati sio Utajiri bibie bahati ni kitu kizuri kuliko utajiri upo pamoja na mimi bibie?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom