Haya sasa hawa ndo ACACIA!

Wakati Musa anawatoa utumwani wana wa Israel, alikutana na vikwazo vingi sana kutoka kwa hao hao anaowaokoa, kuwarudisha nchi ya ahadi
Na hata pale walipoambiwa wakapigane na (Wafilisti kama sikosei, na kama nimekosea mnisahihishe), ya kwamba mungu atakuwa pamoja nao.
Lakini wana wa Israel walimkatalia Mussa tena walisema "Hao watu wana nguvu sana, miili yao mikubwa watatupiga" na kwa kukataa kwao na kwa kumfanyia dhiaka bwana mungu wao na mengi ambayo ni machukizo mbele ya mungu. Watu wale hawakuiona ile nchi ya ahadi bali ni kizazi chao ndio kilifanikiwa kuiona nchi ya ahadi, wao mifupa yao ilibaki jangwani.

Mie kila nikifananisha matamko ya watu humu jinsi wanavyowatetemekea wazungu hata kama wanahoja ya msingi, point za msingi, lakini wanagwaya. nawafananisha na hawa wana wa Israel waliombiwa mungu yupo upande wao lakini bado hawakuamini.
 
Ningekua raisi wa nchi ningeanza na hawa watu ndo niwageukie ACACIA...!! Wanaboa sana wazamiaji nchini kwetu...!!
Sisi ni watanzania kama wewe tofauti ni upeo tu wa kuelewa masuala haya. Nakupa mfano mdogo sana Acacia na barrick thamani ya kampuni yote haifiki trilioni tsh. 50 wewe unataka ulipwe tsh. Trilioni 108 .huu kama si ukichaa ni nini?
 
Wao wanajua mbinu yetu?? Sisi tumeshajua yao wao je?? Kwa hyo mazungumzo gan mengine waliyoongelea kuhusu Mchanga ili tuone walivyobobea?? Kumbe ndio michezo yao?? Bas kila mwsho wa mstari kunawekwaga nukta na mwsho wao ndio hui maana ndege mjanja hunaswa kingese na tundu bovu
 
Wanabodi kuna hiyo kitu hapo. Je, tutachomoka wakituletea hao wataalamu kwenye mazungumzo?
95b74b177c2be5a1b1edae75c7117160.jpg
Katika watanzania wapuuzi na vichwa maji basi wa kwanza ni huyu anayefikiri hii ni habari... kwani sisi hatuwezi kuzungumza? huu ujinga wa kuogopa wazungu mtaacha lini?
 
Wakati Musa anawatoa utumwani wana wa Israel, alikutana na vikwazo vingi sana kutoka kwa hao hao anaowaokoa, kuwarudisha nchi ya ahadi
Na hata pale walipoambiwa wakapigane na (Wafilisti kama sikosei, na kama nimekosea mnisahihishe), ya kwamba mungu atakuwa pamoja nao.
Lakini wana wa Israel walimkatalia Mussa tena walisema "Hao watu wana nguvu sana, miili yao mikubwa watatupiga" na kwa kukataa kwao na kwa kumfanyia dhiaka bwana mungu wao na mengi ambayo ni machukizo mbele ya mungu. Watu wale hawakuiona ile nchi ya ahadi bali ni kizazi chao ndio kilifanikiwa kuiona nchi ya ahadi, wao mifupa yao ilibaki jangwani.

Mie kila nikifananisha matamko ya watu humu jinsi wanavyowatetemekea wazungu hata kama wanahoja ya msingi, point za msingi, lakini wanagwaya. nawafananisha na hawa wana wa Israel waliombiwa mungu yupo upande wao lakini bado hawakuamini.

Mungu hawi upande wa wezi hata siku moja...
 
Tuombe tu wale wazungu watuepeshi na kikombe hiki maana asilimia za ushinda zinazidi kushuka kadiri muda unavyosonga..

Tume zote mbili zilijaa maprofesa, wachumi, wanasheria na wafanyakazi wa TRA na zilikuwa zinafanya kazi ili mradi kumridhisha mteuzi wao.

Wajumbe wa tume zote waliweka weledi wa taaluma zao na kuendeshwa na mihemko & na hisia zaidi ya uhalisia.
Kwa ushahidi upi unaouamin wewe kwamba wamemridhisha mkuu wao?
 
Na sisi tuwaweke watalamu na wabobezi wa mambo akina lusinde na kundi lake. Hawa ni wabobez wa kujenga hoja
 
na sisi tuweke wajuvi wa mambo na wabobezi pia. baada ya kujua mbinu zao na sisi tuzitumie pia
Mkuu,elewa huu mchezo vizuri,rais ameweka tuhuma katika msingi wa uongo wa tume za maprofesa Osorro na Mruma,leo hii unasema unataka uweke wataalam wapambane na hao watu ambao watasimama kwenye msingi halisi wa kile kilichopo.Kikubwa hapo mkuu wa nchi aendelee kukubaliana na Lissu kwakufuata process za kisheria ili ajiondoe kwa usalama nakufanya kile ambacho kitatufanya tusiwe kama Zimbabwe.MIGA na mikataba mingine baina ya nchi na nchi inabidi tujivue,lasivyo hata hayo makinikia ambayo yamezuiwa hapo bandarini yatatugharimu,na pesa zitakazotumika kuwalipa hao watu,ni za sisi walipa kodi,rais atabaki anawalaumu maprofesa tu kama anavyolaumu PhD 7 zilzopo BOT ambazo hazina tija jwa wananchi.Kwanza hujiulizi kwanini amekamata makinikia nakuacha madini yakisafirishwa nje ya nchi,unabidi tuwe makini na huu ushangiliaji unaofanywa na wana-CCM ambao wengi wao elimu zao ni ndogo na wenye elimu kubwa hawako kiuweledi zaidi yakumfurahisha mkuu.Ngoja tusubiri mwisho wa hili sakata.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom