Haya ndiyo maisha halisi ya takriban 70%; bado tunapigana na ujinga, maradhi na umasikini

Huu ukulima wa Jembe la mkono ni vigumu kututoa kiuchumi. Una Lima mazao Tanga tu hapo lakini huna uhakika wa soko.

Hizi changamoto sio kubwa kivile. Uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo sana.

Sasa tuna, udongo mchanga, eneo, wazazi, tunaweza kuanza kujenga nyumba kwa kila mwanakijiji kutumia material, nguvu kazi, zinazopatikana hapo.

Shule, hospitali, barabara hivi vyote unaweza kujenga ndani ya mwaka mmoja.
 
Back
Top Bottom