Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,900
Habari jf? naomba mnisaidie kutambua kama hii ni mawe ya madini ama la?
kuna mtu kaniuliza nimeshindwa kujua
kuna mtu kaniuliza nimeshindwa kujua
Sijajua mkuu, kwanini umedhani kuwa.ni chuma?sio madini ya chuma kweli hayo!!
Mkuu jikite kwenye mada acha maneno ya kwenye Khanga.Siku hizi sijui watoto mmekuja kuwaje, haya ndio madhara ya kukulia mijini tuu mmefungiwa ndani.
Hayo ni mawe tuu kama mawe mengine.
Huo udongo juu mwekundu!! chuma inapenda huo udongo sanaSijajua mkuu, kwanini umedhani kuwa.ni chuma?
hii jiwe imetoka Geita.
asante sana mkuu, naendelea kuchunguza.Huo udongo juu mwekundu!! chuma inapenda huo udongo sana
Mkuu asante sana. Nimewapigia simu wataalam wa madini pale mkuyuni, nesc mintech wanasema kupima madini ni elfu 30.Test ya chuma weka sumaku uone kama inanasa, otherwise ni vigumu kuongelea jiwe limebeba nini kwa kuangalia kwa picha
Pia inategemea we unatafuta madini gani, njia nyepesi peleka sample hizo maabara eg, GST- dom, UD- geology, SGS mwanza wakakupimie mineralization.
Vyunja jiwe moja katikati kisha upige tena picha.
Vyunja jiwe moja katikati kisha upige tena picha.
Sasa mbona unapiga picha ya mbali hivyo mzee
Asante sana mkuu.Mkuu sina uzoefu na mawe
Nimependa camera ya simu yako very clear
Iko poa sana mkuuAsante sana mkuu.
camera yangu ni ya Tecno, zile simu zinazobezwa kila siku hapa JF.
Kwamba hiyo ni dhahabu?Nachojua mie ni Dhahabu Tu