ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 397
- 1,394
Jimbo LA Wyoming nchini Marekani wamegundua madini ya aina ya rare earths. Haya madini ni ya kimkakati sana katika tasnia ya sayansi na technology.
Ugunduzi wa 2.3 billion tons unaifanya Marekani kuwa na reserve kubwa sana ya aina hii ya madini. Rare earth ni madini yanayotumika kwenye utengenezaji wa vifaa vya technology kama hybrid cars, computer, simu, space craft, ndege nk. Awali China ndiyo alikuwa mzalishaji mkubwa sana wa rare earth.
Mwaka Jana China alipiga marufuku uuzaji nje wa madini ya rare earth. Rare earth ni madini yenye element 17.
Baada ya huu ugunduzi, china amebaki mdomo wazi. Wingi wa haya madini ndani ya Marekani utachochea maendeleo makubwa sana ya technology.