Msaada kwa anayejua soko la mawe lenye madini ya sumaku

Ebenezer14

Member
Oct 7, 2022
5
3
Wakuu habari zenu,

Naomba kujua kama kuna mtu anayefahamu soko la mawe yenye madini ya sumaku kuna sehemu yapo.

Sasa kama kuna mtu anayefahamu soko lilipo, naomba msaada tafadhari.
 
Soko hakuna ilo wala usijisumbue mapinduzi ya sumaku za umeme ndio yameshambulia ilo soko
 
Soko lipo, sema kuna Utaratibu Buyers wanataka Ufanye...

Watakuelekeza Ukachimbe namna wanataka, watakuelekeza namna ya kufunga Mzigo, namna ya kusafirisha, wanataka mzigo utoke Mgodini uufunge chap, straight Sokoni, wananunua kuanzia 5 kg!

Wanataka jiwe la Sumaku linalokamata Chuma!

So unafanya Video kwanza, ukifanya test ili buyer aone!
 
Bei gani kwa kilo moja?

Nawezaje kukupa namba ya End Buyer? Wewe kama Mgodi upo nao kweli fanya Video kama nilivyokuambia!

Hii mambo ya kutoa namba ya Buyer kwa Stranger haipo siku hizi, Buyer wenyewe Whites!
Kwaiyo unataka uwe mtu wa kati? au unataka ununue kwa chini ukauze kwa bei ya juu umnyonge jamaa
 
Yeye ndo ataenda kuuza Mawe yake kwa Buyer, baada ya kujiridhisha na kila kitu naenda kumkutanisha na Buyer, akiwa na Mzigo anaenda kufanya Biashara!

All in all commission lazima iwepo, nawezaje kumpa Stranger namba ya Buyer, je kama Taperi, je kama sio mtu Mzuri?

Kwangu Bora kumpoteza Seller kuliko Buyer.
 
Duh mdogo wa hivo upo kigoma .usiweke number ya buyer weka estimate price biashara bila kupata bei hakuna anaejisumbua .
 
Soko hakuna ilo wala usijisumbue mapinduzi ya sumaku za umeme ndio yameshambulia ilo soko
Mkuu sumaku inaenda kuwa bidhaa ya gharama kubwa mda sio mrefu, kuna mapinduzi makubwa sana ya engine, tekinolojia hii kwa sasa ipo banned ukipatikana unaeza uawa
 
Back
Top Bottom