Haya mawe ni madini aina gani? naomba mnisaidie kuchunguza

Kwamba unahisi umeokota madini?

Acha ufwala kijana, toka kafanye kazi utajiri haujagi kirahisi ivo.
Hebu kuwa mtulivu kijana mdogo.

nipo kwenye mwambao wa madini ya dhahabu, siwezi dharau jiwe ninalo lihisi kuwa ni mali.

kwanza hapa naenda nunua mercury nione kama ni gold ama takataka tu

Bahati ya mtu haijulikani imelalia wapi
 
Kwamba unahisi umeokota madini?

Acha ufwala kijana, toka kafanye kazi utajiri haujagi kirahisi ivo.
Watu wengine sijui Mnakuwaga na utoto gani tu, hivi mtu akiwa na kitu kinachomtatiza hatakiwi kujiuliza hapa ili apatiwe majibu? Na kama hauna ujuzi wowote juu ya kilichoulizwa kwanini usisome na kupita kimyakimya?

Kuna kundu kubwa sana la vijana waanaotaka kuifanya hii platform kuwa sehemu ya kijinga na yenye utotoutoto mwingi.

Unasema hakuna dini kwenye hilo jiwe kwa kutumia picha? Tembea uone kijana, kama hauna udhoefu wa madini (mfano dhahabu) jiwe linaweza kupondwa hivyo ukalichunguza kwa macho (chabo )na bado usiione dhahabu ilhali imo ya kutosha tu. Tatizo watu mkitaina madini yakiwa yanang'aa (tayari processed) mnadhani yanachimbwa hivyohivyo.

NB;Acheni utoto , mtu ana haki ya kuuliza na kupewa majibu.
 
Povu kubwa sana hili, linafaa kufungua ofisi ya udobi
 
nilitegemea jibu kama hili.
Hawa ni wale watoto wa juzi wamekulia kwenye vyoo vya kukalia.

Kwa tuliofukua vyoo vya shimo tunajua hayo mawe ni kama mawe mengine tuu, ukifukua mita 3 tuu unakutana nayo.

Kama anabisha ajaribu kufukua popote alipo kama hajakutana nayo.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Watu wengine sijui Mnakuwaga na utoto gani tu, hivi mtu akiwa na kitu kinachomtatiza hatakiwi kujiuliza hapa ili apatiwe majibu? Na kama hauna ujuzi wowote juu ya kilichoulizwa kwanini usisome na kupita kimyakimya?

Kuna kundu kubwa sana la vijana waanaotaka kuifanya hii platform kuwa sehemu ya kijinga na yenye utotoutoto mwingi.

Unasema hakuna dini kwenye hilo jiwe kwa kutumia picha? Tembea uone kijana, kama hauna udhoefu wa madini (mfano dhahabu) jiwe linaweza kupondwa hivyo ukalichunguza kwa macho (chabo )na bado usiione dhahabu ilhali imo ya kutosha tu. Tatizo watu mkitaina madini yakiwa yanang'aa (tayari processed) mnadhani yanachimbwa hivyohivyo.

NB;Acheni utoto , mtu ana haki ya kuuliza na kupewa majibu.

Mkuu edit kidogo hapo pa kuna kund* kubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom