Haya maisha bhana!!

Kabla ya dully Sykes kutoka na juma nature nipo kariakoo kwenye zaga tu nakesha kaza jombaaaaa hatuka kukosa top twenty one day
 
Nonsense!
 
nikajua gpa ya nne koz ya doctor of medicine
 
Mkiambia nendeni VETA mnaona ushamba Sasa una GPA ndo Nini hata kibara saidia fundi nashindwa kukuita najua skills za handyman huna.
Aende veta kufanya nini mkuu labda ungemwambia angesomea uinjinia au udaktari wewe unashauri ujinga
 
Pole sana aisee, maisha ni safari iliyojawa na mambo kadha wa kadha, haya ni majira yako ya kuwa katika hali hiyo. Napenda kukutia moyo usikate tamaa amini kesho yako nzuri yaja. Nyakati ngumu kwenye maisha huja na kupita. Nakutakia mapambano mema, penda kujichanganya na watu usikae peke yako muda mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…