The Analyst
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 464
- 246
Mwaka huu wabongo kazi tunayo! Are you serious? Yaani pamoja na matatizo yote ya nchi hii wewe mshikaji umeibuka na nchi/ (sorry) rais kukosa tuzo tu? Walimu wako wamepata kazi sana kukufikisha hapo ulipo kitaaluma! Jaamani watz tumerogwa kabisa...!Kuna kila dalili kuwa, iwapo Rais JK ataendeleza Utawala Bora, Uwazi, Uwajibikaji na Haki kwa kila mtu, anaweza kutunukiwa tuzo mashuhuri ya MO IBRAHIM.
Hii itakuwa ni heshma kubwa kwa Tanzania.
Hata hivyo inasikitisha kuona kuwa CDM wanaendeleza vitendo visivyo vya kizalendo ambavyo vinaweza kusababisha tuzo hiyo ikaota mbawa.
Yafaa uongozi wa CDM utafakari suala hili kwa makini. Waelewe kuwa wanaweza kutoka mchango muhimu kuhakikisha kuwa Tanzania inapata tuzo hii ya heshma kwa mara ya kwanza. Akiipata JK, tutakuwa tumeipata wa-Tz wote.
Wakati mwingine ni muhimu kuweka ushabiki wa kichama pendeni na kulinda maslahi ya kitaifa.