Hawataki JK Apate Shahada ya MO IBRHIM?

Kuna kila dalili kuwa, iwapo Rais JK ataendeleza Utawala Bora, Uwazi, Uwajibikaji na Haki kwa kila mtu, anaweza kutunukiwa tuzo mashuhuri ya MO IBRAHIM.

Hii itakuwa ni heshma kubwa kwa Tanzania.

Hata hivyo inasikitisha kuona kuwa CDM wanaendeleza vitendo visivyo vya kizalendo ambavyo vinaweza kusababisha tuzo hiyo ikaota mbawa.

Yafaa uongozi wa CDM utafakari suala hili kwa makini. Waelewe kuwa wanaweza kutoka mchango muhimu kuhakikisha kuwa Tanzania inapata tuzo hii ya heshma kwa mara ya kwanza. Akiipata JK, tutakuwa tumeipata wa-Tz wote.

Wakati mwingine ni muhimu kuweka ushabiki wa kichama pendeni na kulinda maslahi ya kitaifa.

Wewe Kishongo, zawadi ya MO si kwa viongozi walioshindwa kazi kama Kikwete. Ni kwa viongozi ambao wamefanya vyema kama akina Festus Mogaye rais wa zamani wa Botswana. Labda umechanganya mambo.
 
Hiyo tuzo inaendana na madola lukuki ambayo kwa namna fulani yatakugusa - wewe na mimi.

Kikwete hahitaji hayo madola ya MO IBRAHIM kwani aliyokwisha kuchota mpaka sasa yanamtosha!! Hiyo tuzo kwataarifa tu hawapewi viongozi wanaowakumbatia mafisadi hence he is disqualified from the word GO!! Hawapewi viongozi wanaowaibia wananchi wao!!
 
duuuh! unadhania kuwa hiyo tuzo inatolewa kwa kuomba. digrii alizoomba akapewa ili aitwe dr zinamtosha. au jk yupi kwanza? maana jk-julius kambarage (jembe) afu jk- jakaya kikwete? bora hata atunikiwe jembe km inawezekana.
 
Nashidwa kumshangaa huyo mtoa mada ana matope au maji taka kichwani? Ubongo wake ume-expire.
 
Wewe Kishongo, zawadi ya MO si kwa viongozi walioshindwa kazi kama Kikwete. Ni kwa viongozi ambao wamefanya vyema kama akina Festus Mogaye rais wa zamani wa Botswana.

Wenye kujua vigezo vya utendaji bora ndio wanaompa hiyo tuzo.

Kama maoni yako ni kwamba 'ameshindwa kazi', wenzako wanaojua kupima viongozi kimataifa wana mtizamo tofauti.

Hana wa kushindana naye Africa kwa sasa, uwezekano mkubwa tuzo litakuja Tz 2016 kupitia JK.
 
Haitolewi kwa bora utawala. Inatolewa kwa utawala bora. Kuanzia unavyoingia madarakani hadi unapotoka.

1. Jk kaingia kwa mlango wa uani
2. Atatoka kimya kimya kwa msaada wa al shabaab.
3. Amewekeza kwenye kuwasababishia machungu wananchi wake
4. Anajinufaisha na raslimali za nchi yeye familia yake na maswahiba wake.
5. Hajui kwa nini wananchi wake ni masikini.
6. Ana mtetezi kishongo asiyejali maumivu na matatizo ya wengi
 
Wenye kujua vigezo vya utendaji bora ndio wanaompa hiyo tuzo.

Kama maoni yako ni kwamba 'ameshindwa kazi', wenzako wanaojua kupima viongozi kimataifa wana mtizamo tofauti.

Hana wa kushindana naye Africa kwa sasa, uwezekano mkubwa tuzo litakuja Tz 2016 kupitia JK.

Kama ni hivyo, basi si ajabu kwamba Afrika ndiyo maana tuko nyuma kimaendeleo.
 
Originally Posted by Quinine:
Hayo madola ya bahati nasibu siyahitaji.
Michango yako inaonesha hujui tuzo ya
Mo Ibrahim ni kitu gani.
Hutahukumiwa kwa kukaa kimya... badala
ya kujaza pumba kwenye jamvi.
Thanks

Originally Posted by Quinine:
Hayo madola ya bahati nasibu siyahitaji.
Michango yako inaonesha hujui tuzo ya
Mo Ibrahim ni kitu gani.
Hutahukumiwa kwa kukaa kimya... badala
ya kujaza pumba kwenye jamvi.
Thanks
Originally Posted by Quinine:
Hayo madola ya bahati nasibu siyahitaji.
Michango yako inaonesha hujui tuzo ya
Mo Ibrahim ni kitu gani.
Hutahukumiwa kwa kukaa kimya... badala
ya kujaza pumba kwenye jamvi.
Thanks

bonge la cmment!
 
hahaaa hakuna siku nimecheka duniani kama leo..Yaaani JK apewe tuzo ya MO IBRAHIM???? yaani akipewa JK basi na mugabe atapewa kwa kweli....Huyu huyu JK nayemjua kweli apewe tuzo ??mhh inawezekana lakini

Itategemeana na aina ya watu wanajadili na kutoa hiyo MO tuzo
 
Michango yako inaonesha hujui tuzo ya Mo Ibrahim ni kitu gani.

Hutahukumiwa kwa kukaa kimya... badala ya kujaza pumba kwenye jamvi.

hivi wewe ni liz1 au....mbona umeshupalia hivi?? sasa hizo hela akipewa JK zinakuhusu nini wewe??
 
Sidhani kama unaakiri timamu yaani unataka biashara kati ya maisha ya watanzania na tuzo? Hivi kweri unaweza kumueleza mtu aache kupigania maisha na ustawi wa taifa kwajiri ya tuzo tena tuzo kwa mtu sio taifa embu acha ubinafsi na ushabiki wa kijinga yaani tunateseka kwa kukosa umee, bei juu ya vyakula, Serikali imekosa ubunifu wa miradi yamaendeleo eti tukae kimya ili mkwere apate tuzo kichaa wewe
 
"Mtakatifu" mbona hajapewa hiyo?
Acha uwongo. Tuzo ya Mo Ibrahim haikuwepo enzi za Nyerere. Hata hivyo Nyerere alitunukiwa The Mahatma Gandhi Peace Prize among many others. Upo hapo? Hizo dalili anazotaja Kishongo ziko kwenye figment ya imaginations zake. Kwanza Salim Ahmed Salim kama mshirika kwenye bodi ya Mo Ibrahim hatakubali jina la Mkwere lipitishwe. Hajasahau ubaya aliomtendea 2005.
 
Back
Top Bottom