Hawataki JK Apate Shahada ya MO IBRHIM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawataki JK Apate Shahada ya MO IBRHIM?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kishongo, Mar 14, 2011.

 1. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuna kila dalili kuwa, iwapo Rais JK ataendeleza Utawala Bora, Uwazi, Uwajibikaji na Haki kwa kila mtu, anaweza kutunukiwa tuzo mashuhuri ya MO IBRAHIM.

  Hii itakuwa ni heshma kubwa kwa Tanzania.

  Hata hivyo inasikitisha kuona kuwa CDM wanaendeleza vitendo visivyo vya kizalendo ambavyo vinaweza kusababisha tuzo hiyo ikaota mbawa.

  Yafaa uongozi wa CDM utafakari suala hili kwa makini. Waelewe kuwa wanaweza kutoka mchango muhimu kuhakikisha kuwa Tanzania inapata tuzo hii ya heshma kwa mara ya kwanza. Akiipata JK, tutakuwa tumeipata wa-Tz wote.

  Wakati mwingine ni muhimu kuweka ushabiki wa kichama pendeni na kulinda maslahi ya kitaifa.
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  i smell crap
   
 3. P

  People JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Are you mad? Jk apewe tuzo ya mo-ibrahim! A nice dream bt not for jk may be dr slaa.
   
 4. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  tutolee u.p.u.m.b.a.v.u, campaign zako zazina nafasi vichwani mwa great thinkers....kumbe ndomana siku izi kawa mpole eeeh...ndo mbinu mlizompa hizo?? utawala bora kwenye nini?? kuwalinda mafisadi, kuyafanya maisha ya watanzania kuwa magumu, kutowawajjibisha viongozi aliowateua chanzo kikiwa ni urafiki, kutojua sababu ya umasikini wa nchi anayoiongoza, au utawala gani uliobora mpaka ustahiki kupewa tuzo???
   
 5. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,908
  Likes Received: 12,066
  Trophy Points: 280
  Hiyo MO yako itatusaidia nini? leta mambo ya maana tujadili.
   
 6. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hiyo tuzo inaendana na madola lukuki ambayo kwa namna fulani yatakugusa - wewe na mimi.
   
 7. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,908
  Likes Received: 12,066
  Trophy Points: 280
  Yaani Chadema waache kukazania mambo ya msingi ya upatikanaji wa umeme wenye uhakika waanze kufikiria MO ya Kikwete, nakusikitikia sana, nikisikia CDM wamefanya hivyo natangaza kukihama chama.
   
 8. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  From reliable sources: JK is now among top candidates for 2016 prize.
   
 9. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,908
  Likes Received: 12,066
  Trophy Points: 280
  Hayo madola ya bahati nasibu siyahitaji.
   
 10. Double X

  Double X Senior Member

  #10
  Mar 14, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hopeless kabisa weweee, iyo tuzo ataipata kwani amefanya nini uyu mkwere,kuiba kura??? halafu iyo tuzo itatusaidia nini sisi watz wakati tumepigika kinoma???kumbuka jk alikuwa rais wa kwanza wa afrika kukutana na obama ilitusaidia nini sisi??? sifa za kijinga jinga, na wewe kwenu msata nini.....??
   
 11. Bless the 12

  Bless the 12 Member

  #11
  Mar 14, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  This is really a CRAP!!!!!

  Kupungukiwa fikra tu, kwa taarifa yako MO IBRAHIM inaongozwa na Salim Ahmed Salim, na kwa aliyofanya jk kwa Salim kipindi kile cha uchaguzi kwa kumwekea propaganda za makusudi ili amchafue kinajulikana kuwa mtawala ambae hastahili tuzo ya aina yoyote ile, hilo salim analijua, na bahati nzuri si haya tu kwani salim anajua kila uozo unaofanywa na ccm na ndo maana ile zawadi hakuweza kuruhusu hata kidogo iende kwa mkapa achalia mbali mkapa alimpita jk mabli sana tu.

  sasa ije leo MKWERE! KAMA UMETUMWA FORGET IT!
   
 12. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,908
  Likes Received: 12,066
  Trophy Points: 280
  Who cares.
   
 13. Zegreaty

  Zegreaty JF-Expert Member

  #13
  Mar 14, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kama haikufaa rangi itafaa chokaa.........nani ampe tuzo huyu?
   
 14. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #14
  Mar 14, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Fikiria kwa mapana hata kama kichwa kimejaa matusi.

  Salim hateui mtu peke yake. Kuna jopo ambalo haliyumbishwi na mawazo ya mtu mmoja ...akiwemo Mo anayedhamini hiyo tuzo.
   
 15. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #15
  Mar 14, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Michango yako inaonesha hujui tuzo ya Mo Ibrahim ni kitu gani.

  Hutahukumiwa kwa kukaa kimya... badala ya kujaza pumba kwenye jamvi.
   
 16. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #16
  Mar 14, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,908
  Likes Received: 12,066
  Trophy Points: 280
  Hata nikijua itanisaidia niniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?, wewe uliye karibu na hao mafisadi ndiye utafaidika, achana na mimi niko mwitongo huku napalilia maparachichi hiyo MO sijui MEE yako haitanisaidia kitu.
   
 17. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #17
  Mar 14, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,148
  Trophy Points: 280
  "Mtakatifu" mbona hajapewa hiyo?
   
 18. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #18
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  ataendelezaje wakati hata kuanzisha hawezi?
   
 19. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #19
  Mar 14, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Usijali, endelea kupambana huko Mwitongo.

  Kila la heri.

  Mtaji wa Maskini ni nguvu zake mwenyewe!!
   
 20. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #20
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaaa hakuna siku nimecheka duniani kama leo..Yaaani JK apewe tuzo ya MO IBRAHIM???? yaani akipewa JK basi na mugabe atapewa kwa kweli....Huyu huyu JK nayemjua kweli apewe tuzo ??mhh inawezekana lakini
   
Loading...