Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 32,459
- 34,298
Wewe jamaa nakukubali sana mastory yote za nyuma ya pazia unayajua !!Duh Catherine Maggie kabla hajawa mb nlishaishi naye mtaa mmja nyuma ya mango garden vijana.....
Ngj niishie hapaaaaa
Ova
Ana jamaa yake bonge la handsome ukiingia kwenye page yake instagram kuna siku alimtambulisha kwenye mkutano wa kampeni mbeyaTulia kaolewa na nani???
Nmekaa naye mtaa mmjaWewe jamaa nakukubali sana mastory yote za nyuma ya pazia unayajua !!
Tulia mme wake anafanya kazi TPDC,kabla ya hapo alikua anafanza kazi EwuraTulia kaolewa na nani???
Bulaya kama bado mwambieni namtaka...
Katika list umewasahau
Faiza fox
Halima mdee
Maria sarungi
Fatuma karume
Kaolewa na halima mdee
Itakua modes waliona umeandika ujinga wkt wanajua we mwenyewe bado unasubiri upepo wa kisulisuli ili uolewe/upate mume.Niliandika Uzi was aina hii mapema Ila mode amekuwa akiufuta.
View attachment 1256310View attachment 1256311View attachment 1256312View attachment 1256314View attachment 1256316
Ummy Mwalimu jeJenista Mhagama Mjane
Mi nilibebwa na upepo wa kisulisuli lakini nikapitiliza pale kanisani sasa nimepotea kabisa nipo huku karibu na yombo tambuka reli...msaada wakuuRwakatare mtoa kwenye hy list, mana amewadanganya mabinti kuwa wanaume wataletwa na upepo wa kisulisuli.
Rwakatare mtoa kwenye hy list, mana amewadanganya mabinti kuwa wanaume wataletwa na upepo wa kisulisuli.
Kitanda hakizai haramuuuuUkimalizana nao kamuulize na mama yako akuonyeshe baba.