Hawa wanawake wana ndoa?

Hao wasioolewa inamaaana wamekosa wanaume au ni jeur tu? Wanapaswa kushitakiwa , Halafu mtu hajaolewa mnampaje ubunge? Mnampaje mtu ambae hajaolewa mnampa had uwaziri? Hivi nyie Mwalimu akifufuka atawachoma moto wote hao mnaoenda kumpigia kura msela anaeishi kihuni
Tatizo vijana mliozaliwa juzi hampendi kusoma
Hakuna sehemu kwenye katiba inasema kama huna mume usipewe ubunge
Acha kumsingizia mwalimu wakati mpaka anakufa ulikua hujazaliwa.unamjua Lucy Lameck wewe?mwalimu alimpa ubunge na uwaziri wakati hakua ma ndoa
 
Wabongo wengi chenga Sana .... Sasa si umeshafeli tayari ameuliza Ameolewaaa!?? Hajauliza kama ana mtoto... Blaaaaalifulu
Hii ni JF sio lazima tujibu swali kama ameolewa au hajaolewa,na hiyo niliyoweka mimi nayo ni fact,hauno kuongeza nyama ndio tunapanua mjadala? Yaani wote tukijubu kaolewa au hajaolewa basi hauni JF itaopteza mvuto? Haitakiwi uwe rigid.
 
Jamani namtaka Auntie yenu, Fatuma, akinikubalia nitamtuliza sana wallah!!
 
PRINCEd, Duh Catherine Maggie kabla hajawa mb nlishaishi naye mtaa mmja nyuma ya mango garden vijana.....
Ngj niishie hapaaaaa

Ova
Hahahah acha hizo mrangi tumegee kama info kidogo .

Nilishawahi sikia aliwahi kumingo na kijana wa BCW uchafuni .kwa mujibu wa dada wa Taifa alitusaliti

Pia yule kibopa mwenye basi za idodomya mzizima zile classic ambaye ni mgonga meza pale
Jumba kubwa idodomya nae ashampitiaga

Wagonga meza wanashare kibaharia Sana hawanyimani mambo !!
 
Ester Bulaya hana ndoa? Daaah namuelewa sana yule dada
- Samia Suluhu-kaolewa
- Anne Makinda-Hana ndoa
- Joyce Ndalichako-kaolewa
- Anna Tibaijuka-mjane
- Jenista Mhagama-Hana ndoa
- Asha Rose Migiro-kaolewa
- Esther Bulaya-hana ndoa
- Ummy Mwalimu-kaolewa
- Tulia Atkson-kaolewa
- Maua Daftari-sijui
- Julian Shonza-kaolewa
- Catherine Magige-hana ndoa
- Getrude Rwakatare-hana ndoa
- Getrude Mongella-kaolewa
 
Hahahah acha hizo mrangi tumegee kama info kidogo .

Nilishawahi sikia aliwahi kumingo na kijana wa BCW uchafuni .kwa mujibu wa dada wa Taifa alitusaliti

Pia yule kibopa mwenye basi za idodomya mzizima zile classic ambaye ni mgonga meza pale
Jumba kubwa idodomya nae ashampitiaga

Wagonga meza wanashare kibaharia Sana hawanyimani mambo !!
Sooooo

Ova
 
Hapo najua Ester Bulaya na Halima Mdee ni Couple,

Getrude Rwakatare tangu alipoachana na mumewe hakuolewa tena,

Fatma Karume hajaolewa,

Catherine Magige hajaolewa,

Anna Tibaijuka Mjane.
Eh mkuu una maana kuna watu wana embark on LGBT ?
 
Kati ya vitu nimekuwa nikijiuliza ni kuhusu hawa wanawake tunu za taifa hili.

  • Samia Suluhu
  • Anne Makinda
  • Joyce Ndalichako
  • Anna Tibaijuka
  • Jenista Mhagama
  • Asha Rose Migiro
  • Esther Bulaya
  • Ummy Mwalimu
  • Tulia Atkson
  • Maua Daftari
  • Julian Shonza
  • Catherine Magige
  • Getrude Rwakatare
  • Getrude Mongella

Je, wameolewa na kama wameolewa waume zao wako wapi na wanafanya nini?

Kwanini pia hatuwaoni hata kwa bahati mbaya?

Mwenye kujua samahani pia kwa uzi sina nia ya kuchunguza familia za watu.
Baba na babu zako wanajua wewe ni dogo mno
 
Tatizo vijana mliozaliwa juzi hampendi kusoma
Hakuna sehemu kwenye katiba inasema kama huna mume usipewe ubunge
Acha kumsingizia mwalimu wakati mpaka anakufa ulikua hujazaliwa.unamjua Lucy Lameck wewe?mwalimu alimpa ubunge na uwaziri wakati hakua ma ndoa

True that.

Curious thing about Mwalimu though.

Openly favoured women but there were no sexual shenanigans about it.

Man was more straight than a Catholic bishop.
 
Back
Top Bottom