Msanii anamla mpaka asaiv yule ambae mama yake anakaa MadaleDuh Catherine Maggie kabla hajawa mb nlishaishi naye mtaa mmja nyuma ya mango garden vijana.....
Ngj niishie hapaaaaa
Ova
KWAHIYO WANAWAKE WOTE USIOWATAJA HAPO KWENYE LIST YAKO UNAWAJUA WAUME ZAO?
Hilo jamaa ni box kweli. Angalia hiyo list utagundua jamaa anatafuta dumeItakua modes waliona umeandika ujinga wkt wanajua we mwenyewe bado unasubiri upepo wa kisulisuli ili uolewe/upate mume.
Haya mambo ya mapenzi haya. Wengine wanasema huyu wa nini? Kumbe jirani hasikii wala haoni. Hongera zaoYes kaolewa na katibu mkuu mstaafu wa wizara ya fedha dr.Likwalile.
Jenista mhagama ni mjane ila Kitambo Sana mmewe kafariki mmewe alikuwa mkandarasi wa mabarabara
Source- kwa mujibu wa wananchi wa kijiji alichozaliwa jenista mhagama kinaitwa PARANGO
Hebu tuambie. Bi mkubwa hatoki Parango?Kama hujui kitu bora kunyamaza au uliza uambiwe sio kudanganya jamvini!!
Parango ndio wapi?Hebu tuambie. Bi mkubwa hatoki Parango?
Ulianza kumjua lini?
Kama mwajuana tupe taarifa zake sahiji
Faiza fox mume wake ni Mimi. Japo nakula kitimotoKatika list umewasahau
Faiza fox
Halima mdee
Maria sarungi
Fatuma karume
Duh. Kale kajamaa kalikuaga tasaf kabaaaya. Kweli pesa sabuni ya kila kituYes kaolewa na katibu mkuu mstaafu wa wizara ya fedha dr.Likwalile.
Sijakwambia hatoki Parango,Peramiho,Lundusi,Likuyufusi au Maposeni.Kumbe source yako Parango wamesema alifariki kitambo sana na alikuwa mkandarasi.Hebu tuambie. Bi mkubwa hatoki Parango?
Ulianza kumjua lini?
Kama mwajuana tupe taarifa zake sahiji
Huyo anatoka Parango mkuu.Sijui ndio wapi hiyo Parango.Parango ndio wapi?
Wewe Vp umeolewa Au unatafuta bwana!!Niliandika Uzi was aina hii mapema Ila mode amekuwa akiufuta.
View attachment 1256310View attachment 1256311View attachment 1256312View attachment 1256314View attachment 1256316
Ukijua itakusaidia nini?Kati ya vitu nimekuwa nikijiuliza ni kuhusu hawa wanawake tunu za taifa hili.
- Samia Suluhu
- Anne Makinda
- Joyce Ndalichako
- Anna Tibaijuka
- Jenista Mhagama
- Asha Rose Migiro
- Esther Bulaya
- Ummy Mwalimu
- Tulia Atkson
- Maua Daftari
- Julian Shonza
- Catherine Magige
- Getrude Rwakatare
- Getrude Mongella
Je, wameolewa na kama wameolewa waume zao wako wapi na wanafanya nini?
Kwanini pia hatuwaoni hata kwa bahati mbaya?
Mwenye kujua samahani pia kwa uzi sina nia ya kuchunguza familia za watu.
ana mapaja na wowowo flani ivi jeupe yaani ukimgeuza na kumkunja yule aisee hadi ataacha kuongea kithembeCathy Magige namuelewa sana yule dah..