Hawa wanawake wana ndoa?

PRINCEd

JF-Expert Member
Dec 14, 2015
845
573
Kati ya vitu nimekuwa nikijiuliza ni kuhusu hawa wanawake tunu za taifa hili.

- Samia Suluhu
- Anne Makinda
- Joyce Ndalichako
- Anna Tibaijuka
- Jenista Mhagama
- Asha Rose Migiro
- Esther Bulaya
- Ummy Mwalimu
- Tulia Atkson
- Maua Daftari
- Julian Shonza
- Catherine Magige
- Getrude Rwakatare
- Getrude Mongella

Je, wameolewa na kama wameolewa waume zao wako wapi na wanafanya nini?

Kwanini pia hatuwaoni hata kwa bahati mbaya?

Mwenye kujua samahani pia kwa uzi sina nia ya kuchunguza familia za watu.
 
Katika list umewasahau

Faiza fox
Halima mdee
Maria sarungi
Fatuma karume
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom