mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,117
Yes kaolewa na katibu mkuu mstaafu wa wizara ya fedha dr.Likwalile.Vicki Kamata kaolewa? Nna shida nae
Yes kaolewa na katibu mkuu mstaafu wa wizara ya fedha dr.Likwalile.Vicki Kamata kaolewa? Nna shida nae
Binti yao nilisoma nae India.Asha rose migiro nakumbuka kipindi anaelekea UN alishoneshwa kweny mahojiano akiwa na mmewe sema nadhani wengi hawapendi kuweka maisha ya nje ya kazi public
Hana haja naoKWAHIYO WANAWAKE WOTE USIOWATAJA HAPO KWENYE LIST YAKO UNAWAJUA WAUME ZAO?
Kaua mume!!!!Jenista Mhagama Mjane
Halafu ukashindwa kumgegedaDuh Catherine Maggie kabla hajawa mb nlishaishi naye mtaa mmja nyuma ya mango garden vijana.....
Ngj niishie hapaaaaa
Ova
Tulia kaolewa na nani???
Jenista Mhagama Mjane
Asha Rose Migiro mme wake ni Lecturer pale udsm.
Am not sure if he is still there.
Tulia kaolewa
Anna Tibaijuka mmewe keshatangulia mbele za haki.
The least known the least explained.
Unamtaufuta Halima mdee wewe subiri moto wake.Bulaya kama bado mwambieni namtaka...
Halima Mdee je?Bulaya kama bado mwambieni namtaka...
Duh Catherine Maggie kabla hajawa mb nlishaishi naye mtaa mmja nyuma ya mango garden vijana.....
Ngj niishie hapaaaaa
Ova
Chombo la mwenye nyimbo ya Baba LaoCathy Magige namuelewa sana yule dah..
Mmewe anaitwa somebody MWAINYEKULE sema mpole sana mmewe ni mtu wa mbeya tukuyu kijiji wanaita IkutiTulia kaolewa na nani???