Ngoja ukute hata aliyosema ni fake pia!!!!!
Ha ha ha nikianza kuongea na kiswahili chenye mixer na maneno ya lugha iliopanda ndege
you know nyingi wakati ukinambia niongee sentesi moja tu inantoa jasho
utantakaaaa......
Afu nanyie mkiona hivi vimbwembwe vya kishua mnazuzuuka
mnashinda pm kutongoza, kutuma namba zenu he he he
wanaovutiwa na watu wa mitandaoni nao ni fake tu
Sa atanivutiaje mtu wa mtandaoni wakati hata six pack sijazionaUkiona mtu anashinda PM kukutongoza jua huyo anataka akulambe tu
Ujue kabisa hilo
Ukijidai kupenda imekula kwako
Unajidai kulaumu wakati na nyie mmekaa kimauzo mauzo tu ...lol!
You know what eeeh now nipo nafanya my second degree pale juma training collageYaani we acha tu
Huku kila mtu ana degree
Hakuna wa form 4,6 au Std 7!
Yaani we acha tu
Huku kila mtu ana degree
Hakuna wa form 4,6 au Std 7!
Sa atanivutiaje mtu wa mtandaoni wakati hata six pack sijaziona
Kumbe fifty fifty mauzo plus manunuzi
hureeee acha muvi iendelee
hii thread ya leo imegusa penyew..... Kweli sijawahi kuona mtu akisema yeye form4 au la7 wakat kuna wengne na sisi hapa la pili B
bora hata ukizuzuka kuna wengne unaogopa hata kugusa pm yake unajua huyu sio level yangu unafikir ni bonge la mtoto wa kishua lakin kumbe anashindia ugali tembele tena 1 per day
Nitakuibukia PM ili nione swaga zako!Mtandaoni: mie bila laki tano hujani undress
mtaani: hata buku ya bodaboda nachukua
usiogopeeeee rusha kete zako wewe
ila mi usijaribu make bila milion hujani undress lol....hivi si ningekuwa na gorofa mie teh
Mkuiu we acha tu
Hawa watu ukija kukutana nao mitaani na ukajua huyo ndio fulani bila yeye kujua unaweza kustaajabu sana
Hata ile mada yako ya puchu nayo ni fake?
Nitakuibukia PM ili nione swaga zako!
Nitahakikisha nakuja kukuona bila wewe kujua ili nikuone kwanza halafu nakuja kukupa apointimenti ndo nione u fake wako!