Ee bwana ee, Pundit si utani Henry yuko wapi siku hizi? Nakumbuka Mindu pale kwa kina Tasi na Bosi, jinsi Reggae na u-rasta tulivyokuwa tunau-mind na ndipo Justin Kalikawe(RIP) alipopata inspiration ya kuanza kuimba na kuwa dread... Mambo ya "Manhattan gym"... Chande naye yuko wapi? Marizanga aka Mario Kempes naye, Danny Mbotto, David Mswia aka Yellowman, Richard aka Ricardo, Maga Mix, Tony Ojjiki, Frankie Munuo, Gregory Msafiri, Chuche, Eliudi, duh! Sijui kama wengine tutakuja kuonana tena... Upande wa Seaview akina Tume, Job, the Luangisas from Peter, Samuel, Rose to Mao, Crispin(RIP), the Makotas, the Gundas, yaani the list goes on and on...