Hawa wako wapi sasa?

Ktk ulowataja, Dela soul yupo NYC ana mke mtasha, Sindila yupo Cincinati, OH....Jump Around yupo Columbus, Rhymson mara ya mwisho kumwona ilikuwa Bongo safarini Canada, Y-thang nilimwacha Muhimbili akiwa mwaka wa nne, nadhani ni doctor somewhere...............................baadhi ya wengine nasikia mateja, waliovuta haya, lakini life goes on!!.

Y-Thang got Married and i heard that he migrated to UK... Always remembering Kagera 1
 
Ee bwana ee, Pundit si utani Henry yuko wapi siku hizi? Nakumbuka Mindu pale kwa kina Tasi na Bosi, jinsi Reggae na u-rasta tulivyokuwa tunau-mind na ndipo Justin Kalikawe(RIP) alipopata inspiration ya kuanza kuimba na kuwa dread... Mambo ya "Manhattan gym"... Chande naye yuko wapi? Marizanga aka Mario Kempes naye, Danny Mbotto, David Mswia aka Yellowman, Richard aka Ricardo, Maga Mix, Tony Ojjiki, Frankie Munuo, Gregory Msafiri, Chuche, Eliudi, duh! Sijui kama wengine tutakuja kuonana tena... Upande wa Seaview akina Tume, Job, the Luangisas from Peter, Samuel, Rose to Mao, Crispin(RIP), the Makotas, the Gundas, yaani the list goes on and on...


Most of these guys wako bongo sasa. Few still in the US and UK, but Yellowman past away (RIP)...

Unakumbuka Burning spear (mzee wa shoka), Linton Kwesi Johnson, Mutabaruka ...
 
Halafu unakumbuka miaka ile IDDI JANGUA alivyokuwa akitesa kule coco beach full CHICAGO BULLS kuanzia CAP mpaka soksi na raba?


Umezungumzia kuhusu UPANGA hivi kile kijiwe cha AHRLEM bado kipo pale au jamaa walikihamisha?

Hivi unahabari kama ARISTOTO naye yuko bongo na makid wake

Ebwana unakumbuka enzi za PUZA WA TAMBAZA?

what about mamabo ya DON BOSCO tournament?

how about mambo ya FOOD EVENING kule SHALIMAR town na watoto wa FORODHANI?

unamkumbuka SINGITIRA? ROZI MLEKWA je?

I wish QUICK MOVER ainie humu maana naye ni mmoja kati ya wachache wa JF ambao ni watoto wa DAR

Nasikia Rose Mlekwa yuko Houston, Texas
 
Halafu unakumbuka miaka ile IDDI JANGUA alivyokuwa akitesa kule coco beach full CHICAGO BULLS kuanzia CAP mpaka soksi na raba?

Umezungumzia kuhusu UPANGA hivi kile kijiwe cha AHRLEM bado kipo pale au jamaa walikihamisha?

Hivi unahabari kama ARISTOTO naye yuko bongo na makid wake

Ebwana unakumbuka enzi za PUZA WA TAMBAZA?

what about mamabo ya DON BOSCO tournament?

how about mambo ya FOOD EVENING kule SHALIMAR town na watoto wa FORODHANI?

unamkumbuka SINGITIRA? ROZI MLEKWA je?

I wish QUICK MOVER ainie humu maana naye ni mmoja kati ya wachache wa JF ambao ni watoto wa DAR

Umenikumbusha mbali sana..Puza!!! Kuna watu waliosoma Tambaza miaka ya 80s (mwanzoni na mid) madarasa ya mbele ..kabla hawajaanzisha yale mambo ya zamu (asubuhi na mchana shifts)? Nakumbuka wakati ule watu wanaenda disco Rungwe ocean!!!
 
Tambaza wakati wa "SoMuchSimple" yule jamaa wa A-Level?
Wakati wa mwalimu wa geography aliyekuwa na gari la njano - Datsan. Alikuwa amejaza yule!

Jee yule mdosi - munib, alikuwa anatutesa kwenye PingPong.

Hivi yule mwalimu wa kipindi cha English aliyekuwa Choko, alisavaiv ukimwi kweli?

Alafu kulikuwa na mpiga ndanda mzuri - Mdoe. Very cool guy. Nasikia aliendaga Botswana.

DonBOSCO, unamkumbuka yule mchoraji - Patrick. Nasikia alirudisha namba (RIP).

Pale Harlem, kulikuwa na akina Bryan (Mgiriki), Pieaus, Kibimbi, Chogolazi. Na ile timu ya mpira - Muhimbili rangers. Jama walikuwa na vagi wale. Bryan kahamia Holland, lakini dingi wake bado yupo.

Alafu zile mechi za mpira za umiseta. Yani zilikuwa kama world cup!

Pale fofleti (four-flats) kulikuwa na duka likiitwa "dukaShop". Watoto wote wa muhimbili primary wakienda kupata vitafunio - half-cake.

Those were the days :) !
 
Last edited:
yule mwalimu wa english,aliekuwa anafundisha english kwa jina khan noma tupu,hivyo yule hajavuta tu?
chogolazi sasa hivi ameslim ni mkristo anahubiri dini,anacheza na bible kama hana akili nzuri hivi sasa ni mkazi wa london
 
Brazameni pamoja na keleza kuwa ulikuwa ubafuatilia sana HipHop ilivyokuwa inachipikia Bongo inaonekana haukuwa nayo karibu,
KU crew au Kwanza Unit sio walioimba nyimbo ya MSELA, nyimbo hiyo iliimbwa na Mawingu Band ( OJ amabaye ana kesi Marekani na wenzake) na ndio walirekodi Video yao cine Club, ila katika video hiyo walialikwa watu kibao si unajua mambo ya kuuza sura na ndio zilikuwa video za mwanzoni kutoka, na mmojawapo anayeonekana kwenye video hiyo niTotoo mdogo wake marehemu D.Rob (R.IP) wa kwanza unit.

Ningependa kumrekebisha mchangiaji mwingine alieleza kuwa Madia ni marehemu hiyo sio kweli :confused: Madia ni mzima na anaishi USA not sure kati ya Houston au Texas aliefariki ni mama yake Margareth Kumbuka (R.I.) alifia huko kwa mwanae USA na amezikwa Dar mwishoni mwa mwezi May.
 
Topic hii ilianza vizuri lakini wameharibu walioanza kuingiza mambo ya shule, hapa tunaongelea Ma Mcs wa OldSkul wa Bongo,
Je nani anajua kwamba kulikuwa na Beef kati ya Salehe Jabir a.k.a Cool S na Adili Kumbuka The late Nigger One ( R.I.P) walishakutana fainali mara mbili Lang'ata kwenye mashindano ya Yo Rap Bonanza mara moja akshinda Nigger One mara ya pili Cool S hope so na nilikuwa nina tape ya mashindano hayo but so sorry kuna mtu alinizima
nigger One alikuwa anachana kiingereza sana na kishwahili kidogo nadhani hapa IST ilikuwa inachangia na alikuwa anamanda salehe kwa kuimba kiswahili na Salehe alikuwa mbaya kwenye kiswahili lakini alikuwa anacopy au anabadilisha nyimbo za wanamuziki wa nje kutoka kiingereza kuwa kiswahili. mfano nyimbo ya vanilla Ice, Black Box mfano ni mistari hiyo hapo chini;

....'Ice ice Baby nipo nipo na maprino invasion kitu kimenikaa moyoni na sasa naamua kukitoa mdomoni, werastop yoo I dont know kusema mengi naona choo, nipo kwenye steji nayakata madebe dance ngoma hii ya ajabu........ cassete ya Salehe jabir ninayo mpaka leo huwa naisikiliza na kucheka sana.

hizo verse kama ulikuwa hajazishika ilikuwa ngumu kuchukua totoz kwani ndio ulikuwa ujanja nakumbuka kuna mchizi primary madem walikuwa wanamfuata na kmwomba awashushie hiyo mistari yaani ilikuwa soooo.

Kitu kingine wadau wa Old Skul kulikuwa kuna dada mmoja tu ndio alikuwa anashika kipaza kitambo hicho naye alikuwa anaitwa Tass alikuwa anasoma IST huyu alikuwa anashiriki Yo Rap Bonanza alikuwa anakaa mitaa ya Obay.


All in all kulikuwa na wakali wengine kibao kama wakina Mc Cux, Dj Cux, fresh XE, ...... HiPhop was hot those days sio sasa wabana pua wengi
 
Topic hii ilianza vizuri lakini wameharibu walioanza kuingiza mambo ya shule, hapa tunaongelea Ma Mcs wa OldSkul wa Bongo,
Je nani anajua kwamba kulikuwa na Beef kati ya Salehe Jabir a.k.a Cool S na Adili Kumbuka The late Nigger One ( R.I.P) walishakutana fainali mara mbili Lang'ata kwenye mashindano ya Yo Rap Bonanza mara moja akshinda Nigger One mara ya pili Cool S hope so na nilikuwa nina tape ya mashindano hayo but so sorry kuna mtu alinizima ...

....'i

Interesting. Nasoma hapo na siwajui wote labda huyo tass maana bro wake alisoma O-level Tambaza.

Unajua oldschool ni relative...naona izo zilikuwa enzi za 90's, sio wakati wa Kurtis Blow, Grandmaster Fresh, Sugarhill gang, na kadhalika. Bongo enzi hizo watu walikuwa waki break dance tuu, rapping ilikuwa bado. Ila kuna jamaa mmoja mzaire akiitwa Jean-Claude, alifanyaga rap show pale Hellenic, but that was in 1984!

By the way, Rapper's Delight (by the Sugarhill gang) was the first ever rap song to be commercially recorded.

Tumetoka mbali
 
Oyaaa Brazameni mi mtoto wa mjini wewe....ukitaka mambo uswazi mi anga zangu zilikuwa Sinza abajalo, Magomeni kwa macheni, mwenge stendi ya basi, Savei kontena, mlalakuwa ndani ndani kwenye klabu za wanzuki
Duh babu itakuwa tumepiga wote soka la fujo abajalo!
 
... chogolazi sasa hivi ameslim ni mkristo anahubiri dini,anacheza na bible kama hana akili nzuri hivi sasa ni mkazi wa london

Are you sure, That is interesting. Bin Maarage, alikuwa comedian mzuri tuu, jokes nyingi pale kijiweni Harlem. Na alikuwa dancer mzuri tuu wakati ule - partner wake binti wa Lukindo.
 
Are you sure, That is interesting. Bin Maarage, alikuwa comedian mzuri tuu, jokes nyingi pale kijiweni Harlem. Na alikuwa dancer mzuri tuu wakati ule - partner wake binti wa Lukindo.
mambo ya comedy 'kalas' sasa ni bible kwa kwenda mbele.anna lukindo yupo na anaishi london
jamani nauliza hivi jamaa alikuwa anaitwa NICO SCABA SCUBA yuko wapi?
 
mambo ya comedy 'kalas' sasa ni bible kwa kwenda mbele.anna lukindo yupo na anaishi london
jamani nauliza hivi jamaa alikuwa anaitwa NICO SCABA SCUBA yuko wapi?

Duh, noma, but very funny!

Nico, siyule mfupi hivi, na nyimbo yake ya "Loose ends". Nadhani daladala lao ndio likiitwa Scaba scuba. Nilisikia yuko Bongo. Sijamuona miaka 22 sasa!
 
yeah sasha its Tasssi lakini sijui kama ameshavuta si yule aliekuwa anasoma ISt point 0.5 fulani hv Oiii oiii nyani gabu yaani mzuka si kitoto umenigusa mlalakuwa kwenye klabu za wanzuki ndio lilikuwa boda langu nikitoka skonga mapambano primary wakati naitafuta kwa remy home. Abajalo umecheza lini Brutus
 
yeah sasha its Tasssi lakini sijui kama ameshavuta si yule aliekuwa anasoma ISt point 0.5 fulani hv Oiii oiii nyani gabu yaani mzuka si kitoto umenigusa mlalakuwa kwenye klabu za wanzuki ndio lilikuwa boda langu nikitoka skonga mapambano primary wakati naitafuta kwa remy home. Abajalo umecheza lini Brutus

Duh! babu ulikuwa unapiga stop kuzimua nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom