Daisy Llilies
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,017
- 2,154
Jamaa ni fukara kabisa, huyu nguo zake zote alizonazo ni sare za jeshi la Polisi
Usifurahi kuwa ni Tanzania hapo niKwa hali hii mhalifu akimpa laki tu anaachiwa
Hivi wew tukuweke kwenye kundi gani maana hata nikisema una elimu ya darasa la saba ntakuwa nmekupendelea. Hivi unaweza ku draw conclusion kwa picha moja tu kwamba hayo ndo maisha ya kundi fulani? Jifunze kuja na vitu concrete bro.
Ni kweli kabisa,naunga mkono hoja.Unachopaswa kujua ni kwamba Hawa ni watu Kama watu wengine kwaiyo huwa wanakabiriwa na changamoto Kama wengine so sometimes wanna changamoto Kama zako tu
Ile ni kazi haiwafanyi kua chuma
Kama ambavyo wewe upo maybe na kazi yako mtu akikuona kazini anaona perfection kwako ila nawe ukitoka huko unakabiliana na changamoto Kama watu wengine wa kawaida
Unachopaswa kujua ni kwamba Hawa ni watu Kama watu wengine kwaiyo huwa wanakabiriwa na changamoto Kama wengine so sometimes wanna changamoto Kama zako tu
Ile ni kazi haiwafanyi kua chuma
Kama ambavyo wewe upo maybe na kazi yako mtu akikuona kazini anaona perfection kwako ila nawe ukitoka huko unakabiliana na changamoto Kama watu wengine wa kawaida
Kwahyo kwa ufahamu na uelewa wako unafikiri kuwa polisi ndio tabaka maskini na fukara kabisa?
Umewatetea sana ila wengi wao ni viumbe ambao hawapendi kushirikisha akili zao katika maamuzi.Very hopeless !Unachopaswa kujua ni kwamba Hawa ni watu Kama watu wengine kwaiyo huwa wanakabiriwa na changamoto Kama wengine so sometimes wanna changamoto Kama zako tu
Ile ni kazi haiwafanyi kua chuma
Kama ambavyo wewe upo maybe na kazi yako mtu akikuona kazini anaona perfection kwako ila nawe ukitoka huko unakabiliana na changamoto Kama watu wengine wa kawaida