Naughty by nature
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 2,128
- 2,356
Mwaka tisini yanga walitupiga tatu,kipa akiwa patrick mwangata,Said mwamba kizota ilikuwa machine ya ufungaji nayo
Nmewakumbuka wakina gagarino,kuna huyu wa nyuma kdg
John makelele zigzag
Ova
Makenzi ramadhan hakudaka siku lle, aisee nililiia sana