Gonzalo Miguel
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 837
- 622
Ndo natoka uswaz uku kwamfuganyoka...Habar zenyu wakuu!
Sio nyoka wote wakorofi wengine ni wapole mno huwezi amini.
Haya mambo ni rahisi kwa waliosoma "snake catching and snake re-location" the rest of us we smell danger.
Waganga wa kienyeji wenyewe hawafugi hays madude.... Hii ni sawa na kufuga kifo nyumbani
Thubutuuu!!!!Nimefuga koboko a.k .a Black Mamba. Ni mzuri sana na ana upendo wa hali ya juu sana
Asimia kubwa ya Nyoka wanaovutia sana, ndio Wenye sumu Kali zaidiAina hizi za nyoka hawanaga sumu mkuu ama hawana athari yeyote kama wakikung'ata
Kichwa mbona flat Kama cobra vileHuyu ni aina gani ya nyoka? Nimekutana nae mahali nikafanikiwa kumuuaView attachment 1105152View attachment 1105153
Kweli aisee,si bora ufuge kitimoto,tutamkaanga tumle.Hata Akivutia mara mia bado Urafiki Wake Na Binadamu Unabaki kuwa Wa Mashaka Tu.
Mbona Kuna vitu Vingi Sana Vya Kufuga Kabla Hujafikilia Kufuga Nyoka!!.
We una mambo yako sio bure,wewe na Mshana huwa siwaelewi.Nimefuga koboko a.k .a Black Mamba. Ni mzuri sana na ana upendo wa hali ya juu sana
Haha unaowasemea wa zamani ila wasiku hizi mbona wanaadabu tu!?Nilitaka nifuge ila Mkao wa huyo mweupe picha ya nne umenifanya nihairishe.Tatizo la hawa jamaa utamfuga Siku anakung'ata kalio hata wewe boss wake
Nyoka wanafaida tele mkuu ukianza na ngozi yake inabei nzuri kabisa.Kweli aisee,si bora ufuge kitimoto,tutamkaanga tumle.