Hawa ndio baadhi ya nyoka duniani wanaopendeza kufuga kama pet nyumbani

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,726
10,020
Wanavutia na kupendeza kweli....
images(2).jpeg
images(1).jpeg
images.jpeg
2610807fbimg1436458140835jpeg7782bde7e6320f803428755533e1a553.jpeg
2610799fbimg1436458163202jpeg0ec850eff1c54bac0b0f575410d6c79b.jpeg
2610798fbimg1436458169607jpeg1b6466c6abebd2778634f0cb1ee0bc43.jpeg
2610796fbimg1436458178242jpegf2596169d7f00b843f66cb19441f9ad2.jpeg
2610788fbimg1436458200445jpege985e5baa77d9cab80359c9808e33031.jpeg
2610791fbimg1436458188712jpegac5e53fb22735d3da1ae9dfbed34009b.jpeg
2610790fbimg1436458192457jpeg4aede27ae095ee868a65f4c3b969be77.jpeg
2610789fbimg1436458196301jpeg709d152c7d24d15ae681e1f86b80d32b.jpeg
 
ntawapata wapi sasa na chakula chao nakijuaje? maana najua vyakula vya broiler tu na Bata
 
Mtani nitakuwa wa mwisho kwa kweli. Yaani mi jongoo tu huwa ananitoa jasho ije kuwa nyoka.
Hapana kwa kweli Mtani. Vp we ushaanza kufuga Mtani?
Hahaha Aisee hapo kwa jongoo nahisi ni wanawake karibu wote wanamwogopa sijui amemikosea nini jongoo wa watu 😁😜
Siyo kufuga tu yani sijawahi kuwa na urafiki wa aina yoyote na hao wadudu nahisi hata wao wenyewe wanajua. 😬
 
Back
Top Bottom