Hawa ndio baadhi ya nyoka duniani wanaopendeza kufuga kama pet nyumbani

Walinipaga tabu sana the moment nafanya kazi mgodi X. Wazungu wamewawekea shelter, vyakuwekea food na maji mbele ya kila nyumba almost.
.
Jioni umekaa unajipumzisha Mara unaona anapita nilikuwa nawaogopa sana mwanzoni.
.
Siku nimekaa sehemu yenye network naongea na simu, nageuka nyuma namkuta koboko kanyanyuka daaah nkajua ndo Basi tena, alivoona Sina reaction yoyote uyo akasepa.
 
Nilitaka nifuge ila Mkao wa huyo mweupe picha ya nne umenifanya nihairishe.Tatizo la hawa jamaa utamfuga Siku anakung'ata kalio hata wewe boss wake
 
Nilitaka nifuge ila Mkao wa huyo mweupe picha ya nne umenifanya nihairishe.Tatizo la hawa jamaa utamfuga Siku anakung'ata kalio hata wewe boss wake
Haha unaowasemea wa zamani ila wasiku hizi mbona wanaadabu tu!?
 
Back
Top Bottom