Hawa members wana muda gani hapa JF?


Kinachoangaliwa ni muda au ujazo na mshiko wa mada?
 
Jamni mwenye mada umeridhika au wataka na THANKS!!!
Mwenye mada amekumbwa na ukame wa kutoa THANKS dah tokea October 2010 ametoa thanks 4 tu inaonekana mvua haijanyesha kwahiyo kuna ukame wa kuwapa watu thanks upande wake
 
Sasa mwenye sredi kasepa wapi?
Huko uliko njoo ukague mavuno.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…