KOKUDOOO! Uwapi ndugu yangu? Umeshajua maana ya msemo USIANDAE MKEKA KABLA HUJAJUA IDADI YA WAGENI? Leo kula kwako,kulala kwako na usisahau wengine 2narauka makazini kesho.halahala mkuu.wapi ubwabwa?[/QUOTE]
hahahaha Fundiaminy umenichekesha ujue....

KOKUDOOO! Uwapi ndugu yangu? Umeshajua maana ya msemo USIANDAE MKEKA KABLA HUJAJUA IDADI YA WAGENI? Leo kula kwako,kulala kwako na usisahau wengine 2narauka makazini kesho.halahala mkuu.wapi ubwabwa?
unadhani kwa page hizi kokudo karidhika au tuendelee?
Bila samahani dena mimi ni he.

ayaaaa mie ndo nilikuwa namalizia kuandika pm nikidhani wewe ni.......

usikonde ni swala tu la kujenga brand name. Ukishaweka hiyo brand name hata products zikiwa viwango ni vya chini watu wanaweza wakavikubali tu. But nakubaliana na wewe kwa upande mmoja kwamba yawezekana wanajuana nje pia ya jukwaa. Labda wenyewe pia wachangie kwamba siri yao ipo wapi

Mdogo mdogo HC
Kheeee Kheeeee Kheeee VISHAROBARO banaaa vingineSi huyo bishololo ana insinuate eti mimi sijui ndo Omega nani nani...vijitu vingine bana.

Eti bandugu, Kokudo ndo Via Mobile?

Eti bandugu, Kokudo ndo Via Mobile?
Kheeee Kheeeee Kheeee VISHAROBARO banaaa vingine
Fufu funyufunyunyu fukunyua wahenga wasemaa "leo ni leo msema kesho mrongo". Jambo Michelle?