Hawa members wana muda gani hapa JF?

Tafadhali Kokudo nakushauri uwe unatuma post za vitu vya maana huenda post zako zilikuwa hazivutii watu unategemea nini? wachangie tu? Kaza buti.
 
Dah! Sina cha kuandika halafu nataka kumpa support kokudo.
 
Tafadhali Kokudo nakushauri uwe unatuma post za vitu vya maana huenda post zako zilikuwa hazivutii watu unategemea nini? wachangie tu? Kaza buti.
<br />
<br />
Unaona kama sasa kaanzisha halafu kakimbia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…