Hawa hapa Wabunge wapya watakaoiwakilisha Tanzania EALA

Hawa wawe tofauti na kina Kimbisa, Makongoro maana wabunge wa EALA toka Uganda, Kenya na Rwanda tunawasikia wakichangia hoja lakini wetu wa kutoka Tanzania wamekuwa mabubu .
Lugha ya Malkia ngumu ilikuja na British Airways🥰🥰🥰
 
Hujazidiwa sifa, sema hawakuwataka tu nyie
Ina maana kizigha anaweza kukuzidi sifa
Nlikuambia tangu mwanzo mfumo wetu unataka watu akili ndogo ndiyo ziwe zinatuwakilisha....

Ova
Kwenye wale 8 wa CCM, kuna Ph.D 3, daktari wa medicine 1, wanne waliobaki wote wana masters mbili mbili!.
Kiukweli kabisa nimezidiwa sifa na vigezo.
P
 
  • Ndg. Angela Charles Kizigha
  • Ndg. Nadra Juma Mohamed
  • Dkt. Shogo Richard Mlozi
  • Dkt. Abdullah Hasnu Makame
  • Ndg. Machano Ali Machano
  • Ndg. Mashaka Halfan Ngole
  • Ndg. Ansar Abubakar Kachwamba
  • Ndg. James Kinyasi Millya
  • Dkt. Ngwaru Jumanne Maghembe
View attachment 2364755
Nina kila sababu ya kuiombea CCM inyimwe kura 2025 na kuendelea.

Haya majina yanaashiria utawala wa kisultani ndani ya CCM unavyoenda kuiathiri nchi.
 
Kwenye wale 8 wa CCM, kuna Ph.D 3, daktari wa medicine 1, wanne waliobaki wote wana masters mbili mbili!.
Kiukweli kabisa nimezidiwa sifa na vigezo.
P
Mkuu Pasco.
Uongozi siyo wingi wa vyeti bali ni dhamana inayohitaji Hekima, Busara na Elimu. Bora ukose usomi lakini hekima na busara ukawa navyo. Lakini ukiwa na Elimu bila Hekima na Busara ndo tunapata aina ya maongozi ya kuhamasisha wananchi waende Burundi kama.jibu la malalamiko yao.

Ninachokiona hapo ni impact ya siasa za Kisultani ndani ya CCM inavyoenda kuoathiri nchi
 
  1. Ndg. Ansar Abubakar Kachwamba.......!!!!!!!?
Hii nchi bado haijapata uhuru....niishie hapa nisije kufuru Bure! Kwanini tusikubaliane kuwa hii nchi ina Koo za Kifalme ambazo hadi vitukuu wanapewa keki ya taifa bureeee! ISIS, Boko Haram nk ni matokeo ya huu ujinga!
Kafanyaje mwalimu wetu?
 
Ahsante kwa taarifa...
Mradi tu huko tusije tukashuhudia vituko kama hivi...

1664011657951.png

Bunge la Jamhuri wa Muungano Tanzania...
 
Mkuu unamfahamu baba yake na KCU(chama cha ushirika cha wakulima mkoani Kagera) CCM, Shule za sekondari za wakulima, nk?
Kusema ukweli m sijui maisha ya kwao mimi alikua headmaster wangu ndo namfahamu ivo tu
 
Kawe wanajua kuna watu wenye uelewa mkubwa kiasi kwa hiyo anahitajika mtu mwenye uongo mwingi, propaganda nyingi na ushawishi mkubwa.

Kama itawezekana Kawe wamapatie Dr Edmund Mndolwa maana Gwajima na ujuaji wake wote bado Kawe hawamtakiwanamuona muongo muongo halafu hasikilizi wananchi anatembea na matukio.

Na kawe ina wapiga kura sio chini ya millioni moja na nusu. Moja ya jimbo linalosaidia sana chama dola kushinda.
CCM haitegemei mtazamo wa wapiga kura, shtuka.
 
Back
Top Bottom