Hawa hapa Wabunge wapya watakaoiwakilisha Tanzania EALA

27 January 2017

Shyrose Bhanji mbunge wa Tanzania katika bunge la EALA awasilisha muswada wa kulinda haki za raia wenye hali ya albinism. Pia Wabunge wa EALA wazungumzia mguso wa bunge hili ktk ukanda wa Afrika Mashariki kuhusu afya, bima, viwanda vya kuchakata madini, korti ya Afrika mashariki, Uchangiaji bajeti ya EALA,



Source: KTN News Kenya
 
29 February 2020
Arusha, Tanzania

Wabunge wa Tanzania wa EALA wakiongozwa na Dr. Damas Ndumbaro wapinga muswada wa ushuru


Source : NTVUganda
 
19 December 2017

TANZANIA YABURUZWA EALA, KWA KUSHINDWA KUONESHA WELEDI



The regional parliament failed to elect a speaker yesterday after the session was boycotted by Tanzania and Burundi. This was only the first day of sittings following a long suspension caused by Kenya’s row over nominees. Members are demanding that the two countries withdraw their candidates for the position of the speaker so that the post can rotate to other countries. Our regional correspondent Eugene Anangwe has the details from Arusha.

Source : KTN News Kenya
 
22 September 2022
Bunge Dodoma
Tanzania

Spika Dr. Tulia Ackson wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania azuia mgombea wa ubunge wa EALA kujibu swali la alotupiwa mgombea, kuhusu Uganda kupinga makao makuu ya benki kuu ya Afrika Mashariki yawe na makao yake Tanzania


08 August 2022

Uganda yapinga Benki ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa na Makao Makuu Tanzania​

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Uganda ambaye pia ni waziri wa EAC Bi. Rebecca Kadaga apinga wazo hilo kwani Tanzania tayari ni makao makuu ya taasisi kadhaa za Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Uganda ina Taasisi 3 za Jumuiya ya Afrika Mashariki zenye makao yake makuu Uganda. Jumuiya ya Afrika Mashariki ina taasisi ya Samaki la ziwa Victoria / The Lake Victoria Fisheries Organization LVFO lipo Jinja Uganda, Masuala ya Anga Uganda Entebbe CASSOA (The Civil Aviation Safety and Security Oversight Agency) na taasisi ya Elimu ya Juu ya Afrika Mashariki Inter-University Council of East Africa - IUCEA. Hivyo kuwa na taasisi tatu za Jumuiya ya Afrika Mashariki zenye makao yake nchini Uganda.

Huku Tanzania ni makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyopo Arusha, makao ya Bunge la Afrika Mashariki EALA lipo Tanzania, pia Korti ya Afrika Mashariki EACJ ina makao yake makuu Arusha huku Taasisi ya Kiswahili ya Afrika Mashariki ina makao makuu yake Zanzibar. Hivyo benki kuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ikiweka makao yake makuu Tanzania itakuwa taasidi nyingine ya Afrika Mashariki yenye makao yake nchini Tanzania.

BOFYA HAPA KUFAHAMU MAKAO YA TAASISI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI: Source : EAC Institutions

======

Uganda protests award of EAC central bank to Tanzania



Uganda has rejected a report by the East African Community verification team awarding Tanzania the right to host the East African Community Central Bank. First Deputy Prime Minister and Minister for EAC Affairs Rebecca Kadaga has accused the team of fraudulently awarding the EAC Central Bank to Tanzania against Uganda.
 
Huyo unayemsema ni CEO wa National College of Tourismna pia ni Lecturer wa mambo ya Tourism and marketing management OUT anaitwa Shogo Mlozo Seyodeka amechaguliwa amepita wangemuacha kila mtu angeshangaa.

Huyu Angela Kizigha ni mtu legend huko CCM toka enzi za Nape katibu muenezi akamkata jina akamuweka mkwe wake. Nadhani inabidi apumzike sasa mama Kizigha maana kama ni pesa anayo ya kutosha.
kazigha mtu wa mama samia.ni mtu mwenye aliyekua analitaka sn jimbo la kawe,naona kwa nafasi hii kawe hagombei tena
 
kazigha mtu wa mama samia.ni mtu mwenye aliyekua analitaka sn jimbo la kawe,naona kwa nafasi hii kawe hagombei tena
Kawe wanajua kuna watu wenye uelewa mkubwa kiasi kwa hiyo anahitajika mtu mwenye uongo mwingi, propaganda nyingi na ushawishi mkubwa.

Kama itawezekana Kawe wamapatie Dr Edmund Mndolwa maana Gwajima na ujuaji wake wote bado Kawe hawamtakiwanamuona muongo muongo halafu hasikilizi wananchi anatembea na matukio.

Na kawe ina wapiga kura sio chini ya millioni moja na nusu. Moja ya jimbo linalosaidia sana chama dola kushinda.
 
Back
Top Bottom