Hawa hapa Wabunge wapya watakaoiwakilisha Tanzania EALA

Attachments

  • 20220922_122721.jpg
    20220922_122721.jpg
    18.9 KB · Views: 1
Kawe wanajua kuna watu wenye uelewa mkubwa kiasi kwa hiyo anahitajika mtu mwenye uongo mwingi, propaganda nyingi na ushawishi mkubwa.

Kama itawezekana Kawe wamapatie Dr Edmund Mndolwa maana Gwajima na ujuaji wake wote bado Kawe hawamtakiwanamuona muongo muongo halafu hasikilizi wananchi anatembea na matukio.

Na kawe ina wapiga kura sio chini ya millioni moja na nusu. Moja ya jimbo linalosaidia sana chama dola kushinda.
dr mndolwa anauzika ? Kwa wananchi na wajumbe?

Kawe amngepata yule furaha walau ccm ingekua poa,huyu gwajima hata mm simkubali
 
Mwenye Enzi Mungu awabariki wakaiwakilishe nchi yetu Tanzania kwa hekima zote walahi
 
dr mndolwa anauzika ? Kwa wananchi na wajumbe?

Kawe amngepata yule furaha walau ccm ingekua poa,huyu gwajima hata mm simkubali
Ukweli usemwe Furaha ndani ya jimbo la kawe hajulikani kabisa miongoni mwa wananchi huwezi kumfananisha Jerry Slaa ukonga anavyojulikana na Furaha kawe

wanamjua watu wa huko huko jackies na wala bata wa mjini wale wanoshinda kwa octar pale ubalozi, leaders zile type za kina lemutuz na wajumbe. Sababu alikuwa mkono wake sio mfupi kuwacheck wajumbe

Kawe anahitajika mtu mwenye akili zake na ana mzigo wa kutosha na ana cv. Kawe hata wakituletea Dr Fenela Mukangara hatoboi. Calibre ya Mzee Mdolwa ndio inafaa kawe.
 
unawajua wajumbe wa kawe vzr? Ok sawa km mzee mndolwa anafaa kawe
 
Ukweli usemwe Furaha ndani ya jimbo la kawe hajulikani kabisa miongoni mwa wananchi huwezi kumfananisha Jerry Slaa ukonga anavyojulikana na Furaha kawe

wanamjua watu wa huko huko jackies na wala bata wa mjini wale wanoshinda kwa octar pale ubalozi, leaders zile type za kina lemutuz na wajumbe. Sababu alikuwa mkono wake sio mfupi kuwacheck wajumbe

Kawe anahitajika mtu mwenye akili zake na ana mzigo wa kutosha na ana cv. Kawe hata wakituletea Dr Fenela Mukangara hatoboi. Calibre ya Mzee Mdolwa ndio inafaa kawe.
Ana nini Mzee Mndolwa si muonyeshe..kote alikopita aliacha nini? Maneno maneno ya nini, taja alama alizoweka huko alikopita, jumuiya tu hiyo ya wazazi hakuna lolote analofanya huhitaji darubini kumpima kama anafaa au hafai, kitu gani unadhani anacho sasa hakuwa nacho huko alikopita kuwapa hata hao watu wa kawe tu.
Shida ya nchi hii ni ujinga wa aina ya watu kama huyu kichwa chake anafugia nywele tu..
 
Back
Top Bottom