Hawa askari hapa wanalinda nini?

Basi kama hivyo hata makaburi yasilindwe..

Au hata wake za Marais waliostaafu wasilindwe...

Unajua maana ya hadhi?Huo mwenge umepewa hadhi...
Ishu ni kwamba, huo mwenge na mbio zake kwa ujumla! kwa sasa ni zilipendwa! Kiufupi umeshapitwa kitambo na wakati.

Hivyo unastahili kabisa kuhifadhiwa kwenye jumba la Makumbusho ili kuokoa fedha za walipa kodi wa nchi hii, na pia kupunguza maambukizi ya magonjwa mfano ukimwi na corona.
 
Hizo posho zao ni kodi za wananchi
lakini hata wewe ukiteuliwa nafasi kama izo hutochukua hata mia,hata hao tunaoambiwa wanakula kodi zetu wakiwa nje wanaongea maneno kama hayo
 
Huo Mwenge ndio umebeba ushirikina wote wa ccm kushika hatamu.

Inaonekana Jiwe alitaka kuuwondowa kabisa usikimbizwe lakini wale wazee wa kwenye inner cycle wakamuonya fanya yote lakini mwenge usiuguse.

Ule mwenge ndio unatumika kila mwaka kuwapumbaza Watanzania, mimi nashukuru watoto wangu hakuna mwenye interest na ule ushirikina hata ikitokea unalala kwenye kata yetu huwezi kuwaona wakisogea huko.
Wakikua na kupata kazi huko halimashauri utawaona tu wakianza kuufurahia
 
Ndio maana Lowassa alikua ana nia nzuri na watanzania, tunahitaji ukombozi wa kifikra kabla yakuweza kukombolewa kimaisha sisi wenyewe, hili dubwana kama lilishasaidia kuleta umoja, uzalendo na mshikamano wa kitaifa sasa hivi tunahitaji suluhu ya matatizo na sio vitu vya kuamini kama Mwenge, naungana na mtoa mada Tanzania sasa tunahitaji vitu tangible kama ajira zenye staha kwa vijana wetu 👍

Ishu ninkwamba tyr lipo kwenye chata muhimu Kama nembo za taifa.....vyeo vya jeshi...nk

Alama ya utanzania wetu... Hakuna namna
 
Ni taratibu zetu. Ni sawa na heshima tunayoipa bendera ya taifa na wimbo wa taifa. Mwenge wa uhuru ni alama inayotambulisha nchi yetu, unapowaka kama hivyo una maana kubwa kwa taifa, wachache wasio na nia njema wanaweza kuuzima au kuudhuru
 
Wanaochukia Mwenge ni kwa sababu wameshikwa akili na majasusi wa Israeli na Wamarekani kwenye mahubiri yao.
 
Zindiko la taifa hilo, mbona ya wazungu kama ile ya Olympic torch hamuijadili? Tufwile mundu gakyala
 
Back
Top Bottom