Hawa askari hapa wanalinda nini?

Kuangalia kombe la dunia unaburidika na unalipia, huu mwenge ni matumizi ya hela za kodi,
amkktweywyxpo2q3.D.0.Amithabh-Bachchan-Holding-London-Olympics-Torch-Image.jpg
 
Hovyo kweli !?? Kwahiyo unalinganisha role ya olympic flame na uhuru torch..

Em kuwa na akili... Olympic inatembezwa tu flame..kuashiria kuanza games kila inapofika.

Unafikiri kuna mradi unazinduliwa hapo!?? Hovyo kweli.
Vuta pumzi na "relax"...usiku huu🤣🤣

Ok...Kwani malengo ya mwenge wa Uhuru ni kwa ajili ya uzinduzi wa miradi tu?!!

Lengo ni kuwatia hamasa watu na hadhi ya kumbukizi hiyo kila mwaka kushajiisha UMOJA NA MSHIKAMANO...kwani "Olympic torch" iko kinyume na hayo?!!!
 
Mleta Thread Una Hoja Nzito Sana Tena Supporting Ya Picture Dubwasha Likiwaka Linakamua Wese
Linapewa Salaam Ya Utii.......
Labda wanaendelea kulinda na kujivunia umaskini wa miaka karibu 60, kama inavyoonyesha hapo ktk picha...
 
Tuheshimu miiko ya nchi hata kama unaona kwako imepitwa na wakati. Tuheshimu sana.

Tatizo MTU akiwa na kaelimu tu anajifanya kutaka kubadilisha kila kitu....so pathetic.
 
Basi kama hivyo hata makaburi yasilindwe..

Au hata wake za Marais waliostaafu wasilindwe...

Unajua maana ya hadhi?Huo mwenge umepewa hadhi...
Uko sahihi, unaweza hata ukachukua jiwe ukalipa hadhi ikabidi lipewe ulinzi,hizi ndizo akili za sehemu kubwa ya Afrika.
 
Back
Top Bottom