Hawa askari hapa wanalinda nini?

Hawa askari hapa wanalinda nini?

Hadhi ya kishirikina ? hakuna mradi wowote uliozinduliwa na mwenge uliodumu hata kwa miezi 6 , fanya uchunguzi

Nilifanya utafiti na kushuhudia haya unayosema.

Yaani mpaka mashamba waliyolima watu binafsi yalikauka baada ya moshi kupita tu.

Sijui ni coincidences au lakini sidhani maana ni miradi mingi inakufa tu
 
Kwanini tunaingia gharama kununua bendera ya Taifa kwenye ofisi za Taasisi?
Acheni akili za kushikiwa bwana. Maisha sio pesa tu. Kuna vitu kama utamaduni, desturi, mila, imani navyo ni sehemu ya maisha na utaifa. Sio kile anachofanya mtu mweupe tu ndio sahihi.
 
Hivi ni nani ataiba hili dubwana linalozindua umasikini kila mara ?

Hivi ni kweli kwamba nchi hii haina vya kulinda ?

View attachment 1954163
Ukuu wa mwafrika.
Dhana ya kuchanganya udongo nchi mbili zikazaa jamhuri moja ya muungano ni zaidi ya udongo,na Mara baada ya kutangazwa kwamba Tanganyika iko huru 1961 mwenge ukapandishwa kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro.
=> ulete upendo palipo na chuki.
=>uwe chachu ya haki kwenye manyanyaso.
=> ulete nuru katika Giza.
Its very meaningful psychologically, spiritually.
Dini zililetwa afrika kinyume na jinsi inavyotakiwa iwe,kupunguza ukinzani ili tutawalike vizuri. And once up on a time and ever there are no true Christians or Muslims in Africa.
 
Ile ni roho kamili iloyobeba maagano jiulize pamoja na ugumu wa maisha wanayoishi police still bado wanaishabikia ccm Ili waendelee kuwa masikini
Polisi hawana maisha magumu bali ni laana inayowasumbuwa.

Unafahamu kwamba Polisi wote bila kujali cheo kila mwezi wanalipwa posho ya shilling laki tatu? Hapo ni nje ya mshahara lakini bado anataka hongo kutoka kwa mtu anayepokea mshahara wa laki mbili kwa mwezi au asiye na kazi kabisa, Polisi wamelaaniwa hata kwenye Biblia.
 
Back
Top Bottom