Kenya mmeshindwa kuleta amani East DRC mtaweza Haiti?

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
9,622
15,949
Nimeangalia katika taarifa ya habari hapa katika kituo kimoja cha kimataifa Nchi ya Kenya imeingia mkataba wa kupeleka askari wa jeshi sijajua ni police au military. Kwaajili ya kulinda amani Haiti.

Kama tulivyosikia Haiti ipo katika 'Chaos" hivi sasa . Sidhani kama Kenya itauweza mziki wa HAITI kwanza tukumbuke wale jamaa wana elements za jamaa wa South America na central America. Gangs na drugs deals are their main issues of business.

Naona kabisa wanajeshi wa Kenya wakielekea machinjioni. Tafakari sana jirani kabla huhaamu kufanya jambo. Usije iingiza nchi yako katika matatizo bure.
 
Banyamulenge wa hapo zaire tu waliwashinda, watawaweza kweli wale mercenaries wa Columbia,, mexico magaid ya cocain na heroin?
 
Nimeangalia katika taarifa ya habari hapa katika kituo kimoja cha kimataifa Nchi ya Kenya imeingia mkataba wa kupeleka askari wa jeshi sijajua ni police au military. Kwaajili ya kulinda amani Haiti.

Kama tulivyosikia Haiti ipo katika 'Chaos" hivi sasa . Sidhani kama Kenya itauweza mziki wa HAITI kwanza tukumbuke wale jamaa wana elements za jamaa wa South America na central America. Gangs na drugs deals are their main issues of business.

Naona kabisa wanajeshi wa Kenya wakielekea machinjioni. Tafakari sana jirani kabla huhaamu kufanya jambo. Usije iingiza nchi yako katika matatizo bure.
Wakenya wanatafuta kichapo tu.

Haiti kuna majambazi kama 30,000 hapo Port au Prince. Hawana akiii nzuri. Wameteka mpaka uwanja wa ndege, Waziri Mkuu wao anaogopa kurudi, hao polisi 1,000 wa Kenya watasaidia nini?

Wataenda kuchinjwa tu huko.
 
Haiti wanatumia Kifaransa sasa Kenya na His Majesty English mtachinjiwa baharini bora wangeenda Wanyarwanda wa Kagame
 
Wakenya wanatafuta kichapo tu.

Haiti kuna majambazi kama 30,000 hapo Port au Prince. Hawana akiii nzuri. Wameteka mpaka uwanja wa ndege, Waziri Mkuu wao anaogopa kurudi, hao polisi 1,000 wa Kenya watasaidia nini?

Wataenda kuchinjwa tu huko.
Polisi na jeshi lao tu wamesanda wamekimbia wamevua gwanda 😄

Ova
 
Back
Top Bottom