Fallback
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 11,400
- 20,569
Kiranga mtumwa wewe unanisemea maneno ya uongo Mimi? Niliyekufungua uwezo kujitambua na ukaweza kujielezea jinsi gani ulivyo mtumwa ukifafanua awali ya yote jinsi gani ulivyo mtumwa wa Muda sasa hio post number sikukupa link au nikupe tena?Wewe ndiye unajiaibisha kwa maneno ya jumla ya "pale juu" bila kutoa post number wala link.
Kwa ukweli hapa wewe ndiye umejionesha kwamba hujasoma, JF wamejitahidi kuiwekea kila post namba yake, lakini wewe hujui hata kusoma namba ya post na kuitoa kama reference.
You are an innumerate.
Pole sana mtumwa Kiranga