Fallback
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 11,400
- 20,569
Asante sana mtumwa kwa kupaniki Ila kupaniki kwako ni kuonyesha jinsi gani umenielewa vizuri mtumwa na maelezo yangu yamepenya mpaka kwenye mfupaWewe kama huwezi kuamua hata tatehe yako ya kuzaliwa, basi pia ni mtumwa.
Unaweza kufikiri kuwa umeamua maisha yako katia dunia hii ya leo, umeamua nini cha kuandika JF.
Kumbe, hata dunia uliyoikuta, hiyo Tanzania uliyoikuta na iliyokuumba, imeumbwa na maamuzi yaliyotiwa saini na JK Nyerete.
Na hata ukiikataa hiyo, hii JF uliyoikuta na kuitumia, ina misingi iliyowekwa na Maxence Melo.
Na yote unayoyajua ni matokeo ya walimu waliokufundisha yaliyopita tu.
Hivyo, wewe pia ni mtumwa tu
Pole sana mtumwa