-ArkadHill
JF-Expert Member
- Nov 1, 2023
- 1,669
- 2,797
Mkuu hapa kweli umeongeaUnaheshimu mtu au unaheshimu mafanikio aliyoyapata mtu, na heshima kwa mtu inakuja kutokana na mafanikio yake tu?
Ungemkuta kachoka zaidi ya alivyokuwa miaka mitano iliyopita ingekuwa sawa kumchukulia poa tu?
Tuwaheshimu watu kwa sababu kesho wanaweza kupata mafanikio zaidi na hatujui nani atapata mafanikio zaidi?
Au tuwaheshimu watu tu, kwa sababu kuwaheshimu watu ni jambo jema, bila kujali kama watu hawa tunaowaheshimu watapata mafanikio au hawatapata?