Fallback
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 11,400
- 20,569
Unaumauma sana maneno mkuu, sema tu ukiwa na rafiki ambae ni mtumwa amefungwa minyororo halafu ukamkuta baada ya miaka kadhaa kafunguliwa minyororo Ila still bado ni mtumwa, level za utumwa zinatofautiana kulingana na plantation uliyopo, mtumwa wa mtaani choka mbaya sio sawa na mtumwa anaefanya kazi kwenye Ofisi nzuri Ila wote ni watumwa tu tofauti ni kwamba mmoja kapigwa minyororo mwingine hana minyororoYumkini ukiwa na rafiki ambaye hana maendeleo, halafu ukakutana naye baada ya miaka michache ana maendeleo
Pole sana mtumwa
